sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Mpe pole babe paloma,mwambie mke mwenzie nampenda nitamletea juisi na keki!
Ahsanteee beib Passion Lady.. Najua unampenda sana mke mwenzio..
Last edited by a moderator:
Mpe pole babe paloma,mwambie mke mwenzie nampenda nitamletea juisi na keki!
Asanteni sana wapendwa wangu wooote! Naamini Mungu Mponyi ananipigania!!!
Sijui lishetani gani lilitaka kunirestisha hakyanani!!! Manake lilinivuruga balaa!!!
Lakini nimelishinda!
Naendelea poa mdogomdogo!
Shukrani saana buddy wangu mayenga kwa kunikumbuka humu! Barikiwa!