Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,996
upone haraka Madame B. mimi na my akanana Passion Lady. tutazidi kukuombea.
Nipo Hospital, Madame b anaendelea vizuri, yupo ward no.12. Bado hatujajua ataruhusiwa saa ngapi
Nitawasalimia wote,niko nao hapa Tanga resort.
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii taratibu jirani......
hata kama siyo watoto wa kitanga wanaishi huko........
hala hala usije ukarudi kwenye ambulance
Asante kwa taarifa dadake shem wangu...uguza pole
Jana Madame B aliumwa gafla ucku wa sa 9, ikabidi akimbizwe hospital kwa Dr.Mvungi, amekutwa na malaria, na sehem ya uti wa mgongo yamuuma, kiac ambacho anashindwa kukaa vizuri, na alibanwa na pumzi, tunakuombea kwa M/Mungu upone haraka, na unywe dawa, pole sana, salam kwa cc
Huyu kiwatengu..anamtia hofu dada yetu, we mwache. Arabela ahsante kwa kunitake care. Dada Fixed Point niko gado mwaya tuko na Arabela tunataka tufanye utaratibu tukamwone Madame B
Asante watu8