Upone fasta shem langu , urudi uraiani uendeleze kuparika!
Ha ha ha haa SHUNTAMA hilo la kihaya limewekwa JF na bosi ha ha haaa.
Chezeya JF.
But waendeleaje kwa sasa best?
Punzika mwaya..JF ipo...afya kwanza.
Japo NGUMUUU
jamani bestito pole sana tena sana Mungu atakuponya tunalkuombea
get well soon best
pole mwaya kumbe ndo maana hukujiandikisha kuombea tuzo ya mwimbaji bora wa cc Top20
umeshatoka hapo kwa hospital au bado bestito?
VipiMpenzi unaendeleaje kiafya? Mbu ujikinge nao vizuri chandaruwa unacho lakini? Pole sana Allah atakuafu inshallah.................Utapona
unaendeleaje kwa sasa madame B
Sasa hivi angalau naweza hata kutoka nje.
Maana nilikuwa mtu wa kitandani tu.
Asante mwaya.
Poa poa.
Mungu ni mwema sana.
endelea kupona wangu!!
Sasa hivi kidogo nina unafuu mpendwa.
Hata nje nimetoka.
aisee! mambo vp?
Amina.
....na nina kila sababu ya kumsifu kwa wema wake kwangu.