GET WELL SOON ladyfurahia!

nilizidiwa sana jana naye aliwasiliana nami ndipo nikamjulisha asubuhi ya leo kwani sikuwa na jinsi bestito kwani hata babu@Asprin, kaka Erickb52, na Mtambuzi hawajui ndo leo nimepata nafuu yaani nimeget well ndo angalau naona nuru hata kwa macho yangu best
aaaa pole best jamani pole sana sikuwa na taarifa sasa huyu Arushaone huko nyuma alikuwa alikuwa wapi kutuwekea mpaka leo umegetwell soon ndo kaiweka?
 
Last edited by a moderator:
asante sana wewe nawe una vituko ndo nini sasa kutuletea nickname mpya? nimekwisha poa ila nataka samaki sato nitumie kwa FASTJET ili wanipe nguvu kwani nimeishiwa nguvu kabisa bestito

mungu akuafu upone fasta cousin!!
 
asante sana wewe nawe una vituko ndo nini sasa kutuletea nickname mpya? nimekwisha poa ila nataka samaki sato nitumie kwa FASTJET ili wanipe nguvu kwani nimeishiwa nguvu kabisa bestito

usijali nitazituma halafu
nitamwambia Mentor apokee
mzigo sawa eee cousin!!
 
Last edited by a moderator:
ok pole sana babu Asprin njoo kuna taarifa huku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…