Pole zake sana kwa Lady doctor.. Mungu atamsaidia atapata nafuu.. Arushaone anajua jinsi ya kumuangalia mgonjwa vzuri..
BTW hata mie ninauguliwa shemeji yenu Paloma hakuwa vzuri.. Ila ninashukuru Mungu anaendelea vzuri japo bado yuko hom..
Hello wanajamii!
Mwenzetu Lady doctor anaumwa hivyo nawaomba kwa pamoja tushirikiane kumpa faraja na kumuombea apone haraka!
Shem namuomba Mungu akushushie mkono wake wa uponyaji upone haraka!
Ugua pole Lady doctor
Cc: Arushaone watu8 Mr Rocky kiwatengu Bishanga The secretary Mamndenyi Mr Rocky Filipo Mungi Avemaria shansarie C6 charminglady Blaki Womani figganigga amu Paloma sosoliso Kaizer DEMBA mimi49 Baba V Arabela nitonye LiverpoolFC Mzee wa Rula Slave zubedayo_mchuzi stevoh Heaven on earth GRAfan11 Chocs Ben Saanane na wote wanajamii ambao sijawamention!
Wakina nani hao?
Paloma ajifungue tu....kila siku mgonjwaPole zake sana kwa Lady doctor.. Mungu atamsaidia atapata nafuu.. Arushaone anajua jinsi ya kumuangalia mgonjwa vzuri..
BTW hata mie ninauguliwa shemeji yenu Paloma hakuwa vzuri.. Ila ninashukuru Mungu anaendelea vzuri japo bado yuko hom..
ladyfurahia wa kumwanya wazima...........yaani kaka hata mie mmenisahau kunipa taarifa kuwa cousin wangu anaumwa vibaya hivyo mlivyofanya
au kwasababu nikko mbali na upeo wa macho yenu?
ugua pole my cousin Lady doctor ninakuombea best wangu wa moyo
Hello wanajamii!
Mwenzetu Lady doctor anaumwa hivyo nawaomba kwa pamoja tushirikiane kumpa faraja na kumuombea apone haraka!
Shem namuomba Mungu akushushie mkono wake wa uponyaji upone haraka!
Ugua pole Lady doctor
Cc: Arushaone watu8 Mr Rocky kiwatengu Bishanga The secretary Mamndenyi Mr Rocky Filipo Mungi Avemaria shansarie C6 charminglady Blaki Womani figganigga amu Paloma sosoliso Kaizer DEMBA mimi49 Baba V Arabela nitonye LiverpoolFC Mzee wa Rula Slave zubedayo_mchuzi stevoh Heaven on earth GRAfan11 Chocs Ben Saanane na wote wanajamii ambao sijawamention!
Lady doctor ugua pole.
Naona baridi ya ar imeshaanza kuleta maproblem;
................ why Erickb52 na siyo Arushaone?
Nisingeuliza kama nisingetaka jibu lol