Get well soon Lady Doctor!


arudiane salama
mi nina spea tyre yangu
Eli79 beibe wea a yu!!!

Kumbe umeniweka spea taya yako... ila ivo ivo tutaenda, utanichuna mpaka uta fall kwangu... beibe twen'zetu Pariii wikiendi hii...
 
Last edited by a moderator:
Kakufanya nini kwani?
 
mke wa kwanza na wamwisho arabela alikuwa ni zugia ujana!

Halafu dawa yako siitaki tena, ngastuka! Lol!

Ha ha ha, dawa huitaki? tena bora huitaki maana ungetumia usingeumwa tena hivyo usingepata nafasi ya kudeka kwa mmeo.
 
Ayaaa nimeshachelewa kutoa pole mpaka mgonjwa amepona,ndo basi tena!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…