Mzee wa Rula mie niko tayari kumuombea ila lazima nishirikiane na mume wangu Filipo kuomba.... Huwa tukiomba pamoja maombi yanakuwa na nguvu sana...Kijana naona juice niliyokuletea imesaidia sana, pumzika kwanza upate nguvu achana na marejesho aje akumbee hapo kitandani atazidi kukulegeza miguu.
Hahaha! Basi mgonjwa utakuwa umepona wewe! Khaaa
Wapendwa wa chit chat naona bado jinamizi la magonjwa linaendelea kuliandama jukwaa letu!
Naomba tujumuike pamoja kumwombea mwana chit chat mwenzetu Erickb52 kwani yu mgonjwa kitandani!
Nawaita kwa moyo wa upendo Filipo, Mungi, PakaJimmy, Arushaone, watu8, Madame B, cacico, gfsonwin, nitonye, Kaizer, Asprin, charminglady, nivea, Preta, Lily Flower, marejesho, Blaki Womani, Kipipi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, King'asti, Paw, Husninyo, snowhite, platozoom, Ndahani, Invisible, Nicas Mtei, figganigga, Bujibuji, babu Dark City na wengine wote!
Njooni tulikemee kwa nguvu hili pepo la maradhi linaloliandama jukwaa letu msimu huu wa sikukuu, tena katika kipindi hiki tunajiandaa kwenda kula bata tanga!
Pole sana Erickb52, hakika Mungu wetu ni mwema na kamwe hamtupi mja wake, nna imani maombi yetu jumlisha na dawa unazokunywa mambo yatakuwa safi soon! Kesho Filipo atakuletea supu asubuhi , PakaJimmy ataleta chipsy kuku mchana na jioni tutakuja na mke mwenzangu marejesho kukupikia kile chakula ukipendacho! Ugua pole sana &
Get well soon dearest!
Hehehehe! We nenda sentro police utamkuta Mr Rocky ashafika, utaenda kujulia huko.
Arushaone umeharibu sana hapa mtaani na mwenyekiti wa mtaa tunashirikiana kukutafuta ]Nimeharibu wapi rena mkuu Mr Rocky?
hv wewe arushaone kila m2 ni wako? haaaa
Hebu mwambie bana aje haraka pale central polisi ya kati kuna kesi zake za kujibu wala asiulize maswali mengi Arushaone fika haraka sana pale cemtral polisi ya kati
Kweli aise jamaa akisikia ndyofu huwa hata kama anaumwa ugonjwa unaisha hapo hapo Erickb52 njoo bana uje uchukue kreti yako ya ndyofu hapa
Arushaone umeharibu sana hapa mtaani na mwenyekiti wa mtaa tunashirikiana kukutafuta ]
wahi mapema pale central polisi ya kati tukajadiliane tuone namna ya kumaliza haya mashtaka