Get well soon Erickb52

nivea na Arushaone mko sahihi lkn kuna kajikosa kadogo mmefanya. huko mliko mfundisha ni kum-MENTION mtu.

dada Ladyfuraha kum-QUOTE mtu just click 'REPLY WITH QUOTE" statement hapo utamquote. ku mult qoute bonyeza kwenye hiyo alama kushoto mwa reply with quote iyo ya kufungua semi. kisha bonyeza zote unazotaka kuziquote pamoja na pale mwisho utakuwa umewaquote wote kama upendavyo.

umeona kazi ya mwl?? haya sema asente mwaalim!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hehheeee chezea MEMKWA lol
 
Last edited by a moderator:
Samahani shemeji
Kwanza umenisaidia kujua kirefu cha MEMKWA lol then sakamu kwa swthrt wangu FP Miss you love
kweli rafiki umepona, mpaka unakumbuka kuwa-miss watu! lol!
nimefurahi kuona umeshachangamka, maana trip ya Tanga ndo hiyoooooooooooooooo, tungekusimulia tu, lol!
 
Samahani shemeji
Kwanza umenisaidia kujua kirefu cha MEMKWA lol then sakamu kwa swthrt wangu FP Miss you love

hahaha! kumbe na wewe ni miongoni mwao sio?? manake nimekupa elimu uliyokuwa umeikosa lol! FP atasalimika tu usjali.

vp umepona? na dawa umemaliza ama umeskip ili unywe pombe za x-mass?
 
Last edited by a moderator:
Hawa wana kundi lao linaitwa majungu squard na mwenyekiti ni Mr Rocky
Hahahahaha! Heri mimi sijasema.


Nje ya mada: Ile report ntakujulisha kesho kabla ya sa4 asubuhi. Sawa mgonjwa eeh.
 
Last edited by a moderator:
kweli rafiki umepona, mpaka unakumbuka kuwa-miss watu! lol!
nimefurahi kuona umeshachangamka, maana trip ya Tanga ndo hiyoooooooooooooooo, tungekusimulia tu, lol!
Hata km naumwa ntaenda na Amburance ila hakosi mtu.
Unataka PakaJimmy animalize
 
Last edited by a moderator:
hahaha! kumbe na wewe ni miongoni mwao sio?? manake nimekupa elimu uliyokuwa umeikosa lol! FP atasalimika tu usjali.

vp umepona? na dawa umemaliza ama umeskip ili unywe pombe za x-mass?

Teh ndofu sigusi ng'ooo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Heri mimi sijasema.


Nje ya mada: Ile report ntakujulisha kesho kabla ya sa4 asubuhi. Sawa mgonjwa eeh.
Hata mi natania tu lol
sawa madame!
Itakuwa pouwaaa
Thanks sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Pole sana baba mlezi Erickb52, zaidi nini au mmeabukizana na Erick Junior, maana nae anagonjeka. Nikupikie nini nikulete kesh kwa breakfast?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…