Get Well Soon Dena Amsi...

Jamani! Haya magonjwa yanatatiza sasa!
MUNGU MWENYE MAMLAKA! Natumia nafasi hii kukushukuru maana yote haya ni mpenzi yako!

Na nitaenda kinyume tena kama ni mamlaka ya shetani,nasema hana nafasi kwa huyu ndg yetu kuwepo hapo,naondosha nguvu yote ya pepo wabaya nasema hamna mamlaka kwa jina Yesu Kirsto! Mwachie sasa,mwachie sasa ndg yetu awe huru, toka pepo toka,huna mamlaka kwa mji wa walio hai! Toka pepo,toka pepo na urudi kuzimu ndiyo makao yako! Kwa jina la Yesu Kirsto hauna Mamlaka kamwe! Shindwa pepo,shindwa pepo! Dena Amsi uko huru kwa uwezo MUNGU kupitia jina la mwanae Yesu Kirsto mwenye mamlaka Dunia na Mbinguni! Na uwe na wakati mzuri kwa Jina la Yesu Kirsto Bwana! Amen!
Ni vyema mkuu kukemea, lkn ni vizuri ujue anachoumwa, maana niliwahi ona mtumishi akimkemea mgonjwa wa minyoo!
 
Pole sana D.A. Hopefully you will get well very soon. Kunywa maji kwa wingi kama waweza fanya hivyo pia usipuuze kunywa vidonge
 
huyo TF mhuni tu,michango yote ya kumuuguzia dena kala huyo!

Halafu sadaka za xmass na mwaka mpya kakusanya na kutokomea hatujui aliko.[/QUOTE]
nasikia Husn kamfungulia TF RB oysterbay police,kisa kamkopa sasa sijui kamkopa nini?ukimwona mwambie 'wanted'!
 
Ni vyema mkuu kukemea, lkn ni vizuri ujue anachoumwa, maana niliwahi ona mtumishi akimkemea mgonjwa wa minyoo!



Ninaweza:
_____________

Hata kama ni wewe leo unasumbuliwa na minyoo,wewe sema tu!
Mungu ninayemwamini hakika siyo wa kumjaribu kama ilivyo ADA ya baadhi ya watu.

Ana uwezo wa kumnyanyua aliyelala na akatembea!
NENO LINASEMA! Usidharau mahubiri ya Watumishi wake! Amen!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom