mkonomtupu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 441
- 118
Asanteni sana wote
pole n get well soon. May Almighty God take care of ur illnes.
Asanteni sana wote
kuna kanuni za usafi kny bibleNinaweza:
_____________
Hata kama ni wewe leo unasumbuliwa na minyoo,wewe sema tu!
Mungu ninayemwamini hakika siyo wa kumjaribu kama ilivyo ADA ya baadhi ya watu.
Ana uwezo wa kumnyanyua aliyelala na akatembea!
NENO LINASEMA! Usidharau mahubiri ya Watumishi wake! Amen!
Kwa hiyo tuseme ni kweli umekopwa?
Today is a New year but unfortunately not all of us are in good Health to Celebrate.... Our fellow Member Dena Amsi has been hospitalised since X-Mas and has returned from hospital today feeling a bit better.
Dena Amsi we Miss you at MMU and on behalf of all the MMU family we Pray that you Get Well Soon.
HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL and to you Dena Amsi.
Pole sana mamiii!Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.
Pole sana DA, hope yale matunda nilompa TF akuletee aliyafikisha... Leo pia nimempa Husninyo juice ya azam imefika? Nakuombea upone upesi.
Khaaa! Hufai kuachwa na mgonjwa wewe manake utameza mpaka dawa za mgonjwa... Ole wako nikikukamata.naumwa mafua, nimekunywa ile juice kutuliza.
Khaaa! Hufai kuachwa na mgonjwa wewe manake utameza mpaka dawa za mgonjwa... Ole wako nikikukamata.
Yaan wewe hufai, daaah!wengine tunajenga shavu kwa mapochopocho ya wagonjwa.
kuna kanuni za usafi kny bible
Wapendwa naendelea vizuri asanteni sana