My love si ulimsikia doc ts jus stomach muscles zimetight tuu si hebu usiwape matumain eakina cl na wana chitchat kuwa soon iwill avin a baby
POLE SHOSTITO! utapona kwa rehema zake ALLAH!
You aunt she conceive already! Hence that disease it called "Morning Sickness" most of woman who in that situation they suffer from a certain problems.
pole kipenzi, ushacheck PT? au ndo unaniiga shost ako hapa. mwenzio nipo bed rest mwezi mzima. upone haraka switilo!
Hiyo mi naona ni yenyewe coz you have fully diagnosis!
Sa niwadanganyie nini ?
Ulipokua unanihimiza KILIMO KWANZA?
That's a results ! Ulitegemea tuvune nini ? Instead of that makitu ?
Hicho kimeshamea! Hakichomoki ! Unacho hicho .
Simo mim watu watakavyoleta pampers na kibesen sijui utafanyaje
Inshallah mamitoPOLE SHOSTITO! utapona kwa rehema zake ALLAH!
mara hii unamkana mumeo hadharani? Unataka kuchoropoa eeh?
Tena!!!
Mdogo wangu beibe nasty nini tatizo Mummy?
Mwezi jana ulikuwa hujisikii vyema na mwezi huu tena?
Mdogo wangu nini kinachokusibu?
Au unaniletea :baby:?
Au Shemeji Judgement anakupa kipondo?
Au Kakupa talaka?
Au anataka akuolee mke wa Pili?
Au anarudi usiku wa manane?
Au Perfomance yake,huduma kwa mteja haiko njema?
Au kafukuzwa kazi?
Najua akifanya/akifanyiwa yote kati ya hayo juu ni lazima Uumwe,tena Utaumia sana.
Dadayo nipo,
Kama Jdgmnt anakuletea za kuleta,nitampa makavu.
Ila Pole sana.
Dada wala judgement ananitendea veema kabisaa ila tatizo ni kwamba jana tuu nilikua vizuri sikunzima ghafla mida ya jion tuu nkaanza sikia tumbo limekaza yani siez simama siez tembea gud thing nilikua maeneo yakunyumba laasivyo ningeshindwa rud nyumban yani

unapenda umbea eh?
BN unawaona hawa?
pokea pole zangu dear.
Mmh wish the results zingekua ivoo ila majibuni tofauti labda iichanga haionekan. My jg is havn a hunch kua nipo preg
Probably !
Coz those several symptoms for early pregnancy signs to detect conception zinaonekana, vinginevyo soon i'wll be confirm .
Pole sana besti, sijui kwa nini ugonjwa wa tumbo sasa hivi unashika kasi! Mi mwenyewe siku chache zilizopita niliugua tumbo wangu.....loh nilikuwa nahaha si kidogo! Btw, waonaje hali kwa sasa?
Pole sana besti, sijui kwa nini ugonjwa wa tumbo sasa hivi unashika kasi! Mi mwenyewe siku chache zilizopita niliugua tumbo wangu.....loh nilikuwa nahaha si kidogo! Btw, waonaje hali kwa sasa?
My hubby wahi leo kurudi pliiiz need u here sweetyWewe nadhani NASA concern!
Ushapata nafuu Beibe?Asante mpenzi