*get well soon arushaone*

Ugua pole mkuu Arushaone.
Kama unaweza kunywa kiloriti mzee hako kaugonjwa kana sepa mazima. Tatizo lako unapenda tu kunywa mkuyati.
 
Last edited by a moderator:
Katavi usijali;
Ninapenda kama unajua kusoma rangi za maua
hilo siyo ua kama unavyoliona lina ujumbe mahususi;

Soma rangi zake kwanza;
Wewe nitakupa rangi unayositahili
hata kama haujaugua nitakupa tu.

Nimeipenda hii kadi ngoja nami niugue huenda nitaambulia japo moja,,,,
 
Last edited by a moderator:
Aisee pole sana Arushaone kwa kuumwa Mungu atakupa nguvu jitahidi kuvaa mavazi ya kujikinga na baridi kali na zingatia dozi
 
Last edited by a moderator:
Pole sana rais na mwandaaji wa mashindano

Mungu ni mwema utapona

First lady Lady doctor polen sana
 
Last edited by a moderator:
Katavi usijali;
Ninapenda kama unajua kusoma rangi za maua
hilo siyo ua kama unavyoliona lina ujumbe mahususi;

Soma rangi zake kwanza;
Wewe nitakupa rangi unayositahili
hata kama haujaugua nitakupa tu.

Asante sana Mamndenyi kwa kunipa darasa kuhusu hii ishu,,,,,,,,sikuwa najua haya mambo ya rangi wala nini..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dogo... Ukipona nitakupa maagizo.. get well soon.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…