Mpe pole sana will pray for her...aya basi kampikie mgonjwa uji
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mpe pole sana will pray for her...aya basi kampikie mgonjwa uji
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jamani sina raha kabisa king'asti wangu wa moyo Angelicious anaumwa,maombi yenu yanahitajika wapendwa
cc Bantu lady,excel,mwallu,Rich pol,'valentine',shansarie,Kiwatengu, miss nedy na wengine maombi yenu yanahitajika wapendwa
Ungemuelekeza jinsi ya kupika uji!
Mambo vip?
To a shule ya kupika huo uji wajua tena mtaalam wa mambo yetu yaleeeee
Tunashukuru kwa maombi yako Mungu amemsaidia anaendelea vizuriget well soon Angelicious
Tunashukuru kwa maombi yako Mungu amemsaidia anaendelea vizuri
Tunashukuru kwa maombi yako mkuu saizi anaendelea vizuri
ah...mungu atampa nafuu...wajua mungu anamipango yake kwa kila mtu,ameona ampe mtihani huu Angelicious wa Daudi1 na sio miss chagga dadake mpenzi na kabanga....