connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,925
Party imekaa ki ngono ngono sana
Kaunga mimi ni single divorced kwa hiyo nina sifa zote za kushiriki ulabu wa vitu soft siku hiyosi useme tu unatamani nawe ungekuwa single and available!
Ngoja tujiandae kujinyakulia vidate!
Kaunga tema mate chini! Si kila divorced ana makosa au alipenda! Mtu aweza kuwa tu victims! There are divorcees who would make a wenderful spouse!Waombee, hujui maumivu yao!halafu kawanyanyapaa ma-widow/ers sijui kwanini. Mimi ningeprefer hao kuliko divorced maana, wao inaonekana kuacha/chwa ni kitu cha kawaida sana.
Kaunga tema mate chini! Si kila divorced ana makosa au alipenda! Mtu aweza kuwa tu victims! There are divorcees who would make a wenderful spouse!Waombee, hujui maumivu yao!
Mkuu connections,KIINGILIO ni 5,000/= kwa ajili ya CHAKULA & VINYWAJI
What if my album is not selling, can I join the singles?
well saidNajua many of them, lakini pia wapo ambao hawezi settle kabisa na mtu as if wana lisprit la kuacha.
Naona kuna watu wanfanya utani hapa. Ili kuifanya for serious persons who r really in need of partners. Utapaswa kuja na picha PASSPORT SIZE ya kwako. Na aina yoyote ya kitambulisho chako chene picha (KITAMBULISHO CHA KURA, PASSPORT, LESENI YA UDEREVA, KADI YA BENKI au Barua toka serikali ya Mtaa) inayokutambulisha wewe, ili kuepuka utapeli wa Mapenzi.

Si ya kukosa hii, connections mi pia i want to be connected!!!!!