lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,747
- 3,460
Lete mambo mkuu
Haiko kwere dingiMkuu nikajua ushashusha Mambo aseee tunakusubiri[emoji16] Chaliiii ya R
Mwanzo mwishoItaendelea
Pikipili I meanMkuu hivi Kuna anayeenda akarudi salama bila kuvuta Moshi kwl? Zamani Arusha ilikuwa fahari kijana anakuja mtaani nguo zimechafuka ulanga kama mkaa mwili mzima Enzi hizo wanasema katoka Mbuguni[emoji1]Kuna viatu walikuwa wanava brand ya Caterpillar I think....pilipili zilikuwa zinakoma[emoji1732]
Timberland,meral,cat,Travolta,Mkuu hivi Kuna anayeenda akarudi salama bila kuvuta Moshi kwl? Zamani Arusha ilikuwa fahari kijana anakuja mtaani nguo zimechafuka ulanga kama mkaa mwili mzima Enzi hizo wanasema katoka Mbuguni[emoji1]Kuna viatu walikuwa wanava brand ya Caterpillar I think....pilipili zilikuwa zinakoma[emoji1732]
Mkuu shusha mzigoItaendelea
PowahMkuu shusha mzigo
Cat ndiyo nimemkumbuka Mkuu[emoji137]Timberland,meral,cat,Travolta,
SawaKazi iendelee