Get ready for this after marriage.....

Get ready for this after marriage.....

Dogo anamwambia "baba hapa kitandani natakiwa kulala mimi na mama tu wewe katafute pa kulala",kanamwambia kwa ishara.
NI BURUDANI KILA SIKU UNALOWANA MIKOJO NA USIPOOGA ASUBUHI UTAKUWA KITUKO KWA HILO HARUFU
 
a1a1715da4401c7c3349f3d4c9d577cb.jpg

Kwenye ndoa hakuna sijui baby nikumbatie ili nipate joto lako hayo yanaishia kwenye uchumba.
We jamaa ni muongo snaaa aisee na unavyonekana haujawai kuowa kabisa
Hemu kaa kimya tuachie tuliowa tukae na raha zetu
 
We jamaa ni muongo snaaa aisee na unavyonekana haujawai kuowa kabisa
Hemu kaa kimya tuachie tuliowa tukae na raha zetu
Mkuu nnao,tena wa kwangu hapo alipokaa ktk pic No3 alikuwa akishaamka kama hivyo ananitoboa toboa machoni ili niamke tuanze kucheza.wakati mwingine ni raha ikizidi sana inakuwa kero ila ndiyo uzazi.
 
Kitanda unafikiri hautatengeneza mkuu?utatengeneza but ukikaweka tu kelele mpaka mtaa wa saba na mamaye hatotaka atakwambia acha tu tulale nae nitamuhamisha akishalala,ukizubaa tu unashangaa alarm inakuamsha asubuhi huku umelowa mikojo ya dogo.
 
Unamzoesha kwenye kitanda chake mapemaaa
 
Kitanda unafikiri hautatengeneza mkuu?utatengeneza but ukikaweka tu kelele mpaka mtaa wa saba na mamaye hatotaka atakwambia acha tu tulale nae nitamuhamisha akishalala,ukizubaa tu unashangaa alarm inakuamsha asubuhi huku umelowa mikojo ya dogo na dogo mwenyewe tayari yupo macho.
Hajawahi Lea hajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watoto wanajua kuvuruga ratiba, juzi nimemtimua boy chumbani kwamba ameshakua mkubwa kanijibu "baba ndio mkubwa ahame yeye mi mdogo" imebidi nimuache tu

Hahaha..! Nimempenda bure mwambie anywe yogurt nakuja kulipa dah
 
Hahaha..! Nimempenda bure mwambie anywe yogurt nakuja kulipa dah
Ha ha ha kwa hilo alinizidi ujanja imebidi nimuache tu alale japo uhuru hakuna, akiona paja mama jifunike, ukikaa hivi mama hujajifunika vizuri aseeee
 
Back
Top Bottom