Gesti Nyingi tu za kisasa kabisa zinapigwa vitanda vya zege siku hizi na usidhani utagundua kirahisi maana vinapigwa finishing ya sofa kwa ngozi na nakshi unaweza kudhani ni vitanda vya kisasa. Wanasema inasave gharama ya kubadili vitanda na magodoro na pia havipigi kwichi kwichi kama vya mbao au chuma.