Kuna moja iko Tabata Savanna, mkono wa kushoto kwa ndani kidogo kama unatazama uelekeo wa Kimanga, ina parking ndani ya fensi finyu sana. Wana ka mini bar ndani, inaitwaje?
Hahahhahah hapo itabidi uwe unasema Amen tu ili amalize haraka maana watu huwa hawatakagi kabisa kupoteza sekunde mapokezi wasije julikana wameingia huko ama kutoka.
Gesti Nyingi tu za kisasa kabisa zinapigwa vitanda vya zege siku hizi na usidhani utagundua kirahisi maana vinapigwa finishing ya sofa kwa ngozi na nakshi unaweza kudhani ni vitanda vya kisasa. Wanasema inasave gharama ya kubadili vitanda na magodoro na pia havipigi kwichi kwichi kama vya mbao au chuma.
Hilo swala la kupotea lipo Namnani maana hata anaekuja kukufumania inabidi ajipange kwa rehearsal ya kisawasawa kuzungukia vyumba na kuvikariri kwa mwezi mzima.
Kuna moja iko Tabata Savanna, mkono wa kushoto kwa ndani kidogo kama unatazama uelekeo wa Kimanga, ina parking ndani ya fensi finyu sana. Wana ka mini bar ndani, inaitwaje?
Mbona sijasikia za manzese kiwalani mbadala Tegeta vingunguti gongo la mboto moshi bar magoneni tandale kwa mfuga mbwa kwa tumbo kwa bibi nyau mburahati kigogo jangwani kariakoo keko kurasini ferry nk
Hahahhahah hapo itabidi uwe unasema Amen tu ili amalize haraka maana watu huwa hawatakagi kabisa kupoteza sekunde mapokezi wasije julikana wameingia huko ama kutoka.