Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Wawekezaji waliokuwa wameamua kuwekeza dola bilioni 30 kwenye uchimbaji wa gas Tanzania, wameondoka na kwenda kuwekeza Msumbiji baada ya mazingira ya uwekezaji Tanzania kutoeleweka. Watasema hata kama mazingira yatarekebika, hawataweza kurejea kuwekeza Tanzania kabla ya miaka 5 kupita.
Kupanga ni kuchagua, gas haiozi, Dunia haisimami, maendeleo ya kupata teknolojia ya kupata nishati hayasimami. Siku tutakaposema tupo tayari kuvuna mali za asili zetu, huenda Dunia itakuwa haina haja ni gas yetu.