Gesi ya Mtwara imeishia wapi?

Gesi ya Mtwara imeishia wapi?

1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari

Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo

Mkuu hivi kwani hatuwezi kuwaambia hao St Thomas na Hospitali nyingine nzuri na maarufu, pia na university kufungua matawi yao hapa kwetu lakini viwango quality iwe kama kule kwao?

Labda matawi Dar, Mwanza, Arusha Dodoma iwanufaishe wengi. Kwa sababu wengine kusafiri ni shida kwenda UK, USA au India. Pia tutajifunza kutoka kwao.
 
Sera za Tanzania hazieleweki mtu atoke ulaya kuja kuwekeza mabilion yake halafu aje aanze kusu mbuliwa kama dagote

Tatizo siyo wao tatizo ni vichwa vya viongozi wa Tanzania kuwa vibovu, sera mbovu Regnald Mengi alikuwa anatengeneza hospital ya moyo ambayo ingechukua wagonjwa wote wa moyo wa Watanzania kama siyo Africa nzima lakini akapigwa mkwara na mradi akaamua kuachana nao

wagonjwa hasa viongozi kwenda kutibiwa india huo ni mradi wa mtu, kila kiongozi anaeenda kule anapata kamisheni yake
 
Mkuu hivi kwani hatuwezi kuwaambia hao St Thomas na Hospitali nyingine nzuri na maarufu, pia na university kufungua matawi yao hapa kwetu lakini viwango quality iwe kama kule kwao?

Labda matawi Dar, Mwanza, Arusha Dodoma iwanufaishe wengi. Kwa sababu wengine kusafiri ni shida kwenda UK, USA au India. Pia tutajifunza kutoka kwao.

Hatuwezi kugharamia Matibabu Aghan na Regency ndio iwe St Thomas?
 
1967 tuliambiwa tunakuwa Taifa la Ujamaa na kujitegemea!, aliehubiri hayo kwa 23 years kafia Ughaibuni St Thomas kwenye hospital ya Kipebari

Mwanasiasa sio Mtu wa mchezo
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Lilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.

Pia Umeme mwingi utazalishwa kwa gesi hio mpaka tutauza nchi za nje. Sisikii tena kuhusu hio gesi, watu wanaendelea kukata mikaa, kutumia kuni na kuharibu misitu.

Serikali inawaza Umeme wa maji Stiggler's na ule wa gesi hausemwi tena.

Anayejua kuhusu hii gesi utujuze wandugu. Isije kuwa inavunwa na wageni kwa mikataba ya kimya kimya tusiyoijua. Na sikumbuki kama kuna kamati ya gesi iliyoundwa mithili ya ile makinikia.
Karibuni wanajamvi....
Bibi kagoma kuruhusu
 
Utasubiri sana.kama ulichagua CCM upate gesi bei nafuu utakaa sana.nenda Mererani kwenye Tznite ukaone watu walivo maskini.wamechakaa.
 
Hawa CCM ni wa kung'olewa kabisa madarakani tatizo la nchi hii ni sera (policies) na utekelezaji wake yaani alietunga na mtekelezaji wote ni ngumbaru hawaielewi so sera nyingi zinatungwa kwenye vacuum space
 
Lilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.

Pia Umeme mwingi utazalishwa kwa gesi hio mpaka tutauza nchi za nje. Sisikii tena kuhusu hio gesi, watu wanaendelea kukata mikaa, kutumia kuni na kuharibu misitu.

Serikali inawaza Umeme wa maji Stiggler's na ule wa gesi hausemwi tena.

Anayejua kuhusu hii gesi utujuze wandugu. Isije kuwa inavunwa na wageni kwa mikataba ya kimya kimya tusiyoijua. Na sikumbuki kama kuna kamati ya gesi iliyoundwa mithili ya ile makinikia.
Karibuni wanajamvi....
isije kuwa ilikuwa kiki.hahahaha
 
Hivi kuna watu mmezaliwa kuiudhi tu mamlaka kuu ya duniani, eti? Au lile katazo la mkaa limekukwaza maana swali ulilouliza lina ukorea kaskazini wa wazi wazi?
 
tulianza uvunaji gesi kabla ya kupanga miundombinu ya matumizi yake. ndiyo maana taarifa zinasema gesi inayotumika ni asilimia 6 tu ya uwezo wa bomba hilo.
Bomba limejengwa kwa kuzingatia tutakapofikia kiwango kikubwa cha uzalishaji na sio kiwango cha uzalishaji kilichopo hivi sasa!

Yaani, kiwango cha uchazalishaji kilichopo hivi sasa ni kupitia gas ya Mnazi Bay and Songosongo peke yake ambapo production husika ndo hiyo inayofanya matumizi ya bomba iwe roughly 6%.

However, uzalishaji mkubwa wa gas HAUJAANZA kabisa! Hata hivyo; busara ilikuwa ni kujenga bomba kubwa ili pasiwe na sababu ya kujenga bomba lingine uzalishaji mkubwa ukishaanza!

Kujibu swali la dafity, nadhani kuna issue ya vipaumbele kati ya JPM & JK.

JK aliamini katika Gas Economy na ndio maana alikuwa anakazania sana suala la gas.

Kinyume chake, JPM ni kama anaamini katika Uchumi wa Madini na ndio maana akili yake yote ipo kwenye dhahabu na makinikia huku akifikia hadi kujenga huko Merelani!
 
Wako busy kununua madiwani na kuua upinza kwanza thereafter automatically viwanda, gesi itakuwa km Russia
 
bado tuna,ujinga mwingi vichwani hawa wana siasa wa nchi yetu tungekuwa wote tuna jielewa tulitakiwa tuwakatae ni wajinga ama hawajuwi walitendalo!
 
Lilijengwa bomba la gesi toka Mtwara kwa gharama kubwa, tukaambiwa kutumia kuni na mikaa itakua mwisho. Kwamba watu watapika kwa kutumia gesi ya bei nafuu.

Pia Umeme mwingi utazalishwa kwa gesi hio mpaka tutauza nchi za nje. Sisikii tena kuhusu hio gesi, watu wanaendelea kukata mikaa, kutumia kuni na kuharibu misitu.

Serikali inawaza Umeme wa maji Stiggler's na ule wa gesi hausemwi tena.

Anayejua kuhusu hii gesi utujuze wandugu. Isije kuwa inavunwa na wageni kwa mikataba ya kimya kimya tusiyoijua. Na sikumbuki kama kuna kamati ya gesi iliyoundwa mithili ya ile makinikia.
Karibuni wanajamvi....
Bado MCHAKATO NA UPEMBUZI YANIKIFU unaendelea,we kuwa mvumilivu.
 
Wa sasa ananyosha kwanza nchi, gesi inavunwa kidogokidogo, watu wala
 
Back
Top Bottom