Gesi ya Mtwara haihitaji matamko

Gesi ya Mtwara haihitaji matamko

Gesi ni ya Watanzania wote, lakini maendeleo lazima yaanzie pale inapotoka gesi. Wana mtwara wamefanywa wajinga kwa muda mrefu sana na sasa ndio wamestuka kuwa ni asubuhi. Mafisadi mpo kwenye wakati mgumu sasa

sawa mkuu,tena wamachinga watapungua mjini watarudi kwao
 
Mambo bado si shwari Mtwara. Mkuu THE BIG SHOW upo hapo?

Na sio shwari kweli maana taarifa za matukio yanayoambatana na hayo ya gas jana usiku kundi lisilojulikana lilikuwa na mpango mchafu dhidi ya mama ambaye anaaminika kuwa ndo mwenye maaeno ambayo shughuli za GAS zinafanyika wananchi waliinusuru hali hiyo na kuchoma moto gari waliyoenda nayo huko msimbati na tetesi zinasema walikuwa wazee wa usalama wa taifa na harakatri zao za kutimika kisiasa bila kujali maisha ya walengwa na wanyonge wa nchi hii. Mungu ibariki TZ na wanyonge wake waliochoka kukandamizwa na serikali kandamizi ya SISIEMU
 
Back
Top Bottom