Gesi ya Mtwara haihitaji matamko

Gesi ya Mtwara haihitaji matamko

Tatizo viongozi wetu wengi wamelewa madaraka,ni sawa na yule malkia aliyewaambia watu wake kama mkate hamna kuleni keki!Sasa kama Mtwara hata huo mkate hawana Keki watapata wapi?
 
Gas ni mali ya wa Tanzania na si mali ya watu wa kusini, samtime muache upuuzi usio na maana yeyote, mmeambiwa mtafungiwa umeme bure, bado mnataka nini?
 
Unafikiri matumizi ya gas ni kugenerate umeme pekee?. Fuatilia mjadala utambue hoja ni zipi, kama unashindwa kufuatilia usiwe unakurupuka na comments za ajabu.
 
Mimi nawaunga mkono wana Mtwara kwa umoja wao waliounyesha kwenye hili suala la gesi na napenda kuwaambia kwamba wasirudi nyuma hadi hapo matakwa yao yatakapotimizwa jifunzeni kwa wenzenu sasa hivi wameachiwa mashimo matupu ya Dhahabu na Tanzanite na wananchi walioko maeneo hayo ni masikini wakutupwa msidanganywe na hao wanaosema kwamba mnadanganywa na vyama vya upinzani sasa hivi hadanganywi mtu kila mtu ameamka anajua haki yake na nyie mnatetea haki yenu ya Gesi ambayo ndio itakuwa mkombozi wenu kwa hilo wana Mtwara komaeni msirudi nyuma na yule atakayewapinga mjue ndio msaliti wenu ameshapata mgawo wake sasa anaogopa asijekuambiwa arudishe mgawo wana Mtwara msilainishwe na maneno ya mafisadi ambao ndio waliotuacha kwenye umasikini mkubwa wakati wao wakijilimbikizia mabilioni ya pesa zetu walizotuibia tuna kila aina za rasilimali zenye utajiri mkubwa lakini wanaonufaika ni wachache wana Mtwara namalizia kwa kusema Gesi kwanza Chama na Ushemeji baadaye
 
Kla mtu anawaunga mkono isipokuwa wale wanaotaka pesa za mradi wapigie kampeni za urais 2015
 
Ungeongeza kuwa hao mafisadi wengine wameihama Mtwara wamekwenda kule kwenye milima na kiubaridi mwanana wala hawakumbuki tena Mtwara.
 
naombeni kuuliza wakuu,gesi ni ya watu wa mtwara au ya watanzania wote?
 
Gesi ni kwa ajili ya Watanzania wote. Lakini, usindikaji wa gesi kwenye mitungi kabla ya kusambaza kwingine ufanyikie mtwara, kituo cha kuzalisha umeme kama vile pale ubunge kijengwe mtwara then umeme usambazwe tanzania nzima, usafirishaji wa gesi kwenda nje ya nchi bandari ya Mtwara ifufuliwe ili mji uchangamke. Kwa kufanya hivi, hata kama ajira haitakuwa kubwa lakini Guest, Hotel na Maduka ya Mtwara yatachangamka kwa kupokea wafanyabiashara na wafanyakazi mbalimbali . Mimi siyo wa Mtwara lakini nawaunga mkono kwani Mtwara na Lindi kumezubaa sana, kwanini kila kitu Dar, au kwingine kuna nini? Wanamtwara komaeni, msirudi nyuma. M4C vivaa
 
Gesi ni ya Watanzania wote, lakini maendeleo lazima yaanzie pale inapotoka gesi. Wana mtwara wamefanywa wajinga kwa muda mrefu sana na sasa ndio wamestuka kuwa ni asubuhi. Mafisadi mpo kwenye wakati mgumu sasa
 
Mimi nawaunga mkono wana Mtwara kwa umoja wao waliounyesha kwenye hili suala la gesi na napenda kuwaambia kwamba wasirudi nyuma hadi hapo matakwa yao yatakapotimizwa jifunzeni kwa wenzenu sasa hivi wameachiwa mashimo matupu ya Dhahabu na Tanzanite na wananchi walioko maeneo hayo ni masikini wakutupwa msidanganywe na hao wanaosema kwamba mnadanganywa na vyama vya upinzani sasa hivi hadanganywi mtu kila mtu ameamka anajua haki yake na nyie mnatetea haki yenu ya Gesi ambayo ndio itakuwa mkombozi wenu kwa hilo wana Mtwara komaeni msirudi nyuma na yule atakayewapinga mjue ndio msaliti wenu ameshapata mgawo wake sasa anaogopa asijekuambiwa arudishe mgawo wana Mtwara msilainishwe na maneno ya mafisadi ambao ndio waliotuacha kwenye umasikini mkubwa wakati wao wakijilimbikizia mabilioni ya pesa zetu walizotuibia tuna kila aina za rasilimali zenye utajiri mkubwa lakini wanaonufaika ni wachache wana Mtwara namalizia kwa kusema Gesi kwanza Chama na Ushemeji baadaye

Siku nyingine weka vituo kwenye uandishi wako, si wote tunaweza kuongea kama kasuku
 
Kama kuna madhara yanayotokana na uchimbaji wa gesi hii, hasa kimazingira na kiafya, wananchi wa Mtwara na Lindi ndio watakaoathirika zaidi. Ni busara kama watapata exception kwenye baadhi ya faida kama vile ujenzi wa viwanda ili wapate nafasi za ajira.
 
Gesi ni ya Watanzania wote, lakini maendeleo lazima yaanzie pale inapotoka gesi. Wana mtwara wamefanywa wajinga kwa muda mrefu sana na sasa ndio wamestuka kuwa ni asubuhi. Mafisadi mpo kwenye wakati mgumu sasa

Kuna pesa mafisadi walitanguliziwa kwenye acount zao huko uswis ili aliehonga apate tenda ya kuchimba, sasa kumewaka moto, wananchi wanachelewesha michakato
 
Gesi ni kwa ajili ya Watanzania wote. Lakini, usindikaji wa gesi kwenye mitungi kabla ya kusambaza kwingine ufanyikie mtwara, kituo cha kuzalisha umeme kama vile pale ubunge kijengwe mtwara then umeme usambazwe tanzania nzima, usafirishaji wa gesi kwenda nje ya nchi bandari ya Mtwara ifufuliwe ili mji uchangamke. Kwa kufanya hivi, hata kama ajira haitakuwa kubwa lakini Guest, Hotel na Maduka ya Mtwara yatachangamka kwa kupokea wafanyabiashara na wafanyakazi mbalimbali . Mimi siyo wa Mtwara lakini nawaunga mkono kwani Mtwara na Lindi kumezubaa sana, kwanini kila kitu Dar, au kwingine kuna nini? Wanamtwara komaeni, msirudi nyuma. M4C vivaa

Tekinohama ya kusafirisha mitungi umbar mrefu imeshaanza kupungua.
 
Hilo tu usiseme mwanangu mwenyewe nipo mbali na MT lkn kama ligula vile ALUTA KONTINUA MAPAMBANO MBELE KWA MBELE
 
Tekinohama ya kusafirisha mitungi umbar mrefu imeshaanza kupungua.

Gesi itasafirishwa na LNG rail tanks au malori maalum ya gesi hadi mahala inapotumika. Pia zipo meli LNG. Hongera mtwara kwa hili mshinda bingo!
 
kwa sasa tunaangalia njia rahisi ya kupunguza msururu wa magari makubwa barabani, kwa usalama wa barabara zetu. Nakumbuka kuna mbunge mmoja makini kutoka Mwanza(Nadhani ni Mh. E. Wenje) amewahi kumuuliza mpango wa kujenga bomba la mafuta kutoka Dar kwenda Mwanza, moja ya faida alizotaja kuhusiana na bomba hilo ni pamoja na kupunguza ajali barabarani na kupunguza gharama za usafirishaji. Sababu kama hizo zinaweza kutumika katika kujenga bomba la gesi.
 
Kwa vyovyote vile itakavyokuwa. Tukitaka kuuza gesi INDIA tunajenga bomba hadi huko?

Umewahi kuuliza gharama za usafirishaji kwa njia ya pipe/bomba vs njia ya magari ukajua gharama za mtumiaji zikoje. Usije ukawa kama watu wanopingana na Waziri wa uchukuzi katika suala la kuimarisha reli kumbe wao wana maslahi binafsi katika usafirishaji kwa njia ya magari.
 
Gesi ni kwa ajili ya Watanzania wote. Lakini, usindikaji wa gesi kwenye mitungi kabla ya kusambaza kwingine ufanyikie mtwara, kituo cha kuzalisha umeme kama vile pale ubunge kijengwe mtwara then umeme usambazwe tanzania nzima, usafirishaji wa gesi kwenda nje ya nchi bandari ya Mtwara ifufuliwe ili mji uchangamke. Kwa kufanya hivi, hata kama ajira haitakuwa kubwa lakini Guest, Hotel na Maduka ya Mtwara yatachangamka kwa kupokea wafanyabiashara na wafanyakazi mbalimbali . Mimi siyo wa Mtwara lakini nawaunga mkono kwani Mtwara na Lindi kumezubaa sana, kwanini kila kitu Dar, au kwingine kuna nini? Wanamtwara komaeni, msirudi nyuma. M4C vivaa

asante mkuu umesema ukweli,maana ule mtambo wa ubungo uko karibu na makazi ya watu siku kikinuka hali itakuwa mbaya sana
 
Back
Top Bottom