Gesi mtwara: Chombo cha dola, Wananchi na macho ya kuviziana

Gesi mtwara: Chombo cha dola, Wananchi na macho ya kuviziana

Siku si nyingi tutamuona Kova kwenye vyombo vya habari akisema wanawashikilia watu kadhaa kwa uchochezi kupitia mitandao ya kijamii.
Hivi hadi sasa ni wangapi wameshtakiwa kwa zile meseji za Makinda na Ndugai?
 
[h=3]TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU OPARESHENI INAYOENDELEA MTWARA[/h]
​

​
 
Mkuu Kookolikoo umenikumbusha rafiki yangu mpalestina! Aliniambia kwa kuwa mfumo wa technolojia ya Israeli upo juu, wao walipokuwa wakipanga kulipua kitu fulani ama kutuma ujumbe kwenda sehemu nyingine, walikuwa wanafanya hivyo na katika dakika zisizozidi tano lazima wahame eneo hilo vinginevyo wanalipuliwa ama kukamatwa na inteligence ya waisrael. nadhani Tz tunaweza kuwa tumeendelea kiasi hiki, japo swali huwa ni kwanini waharifu wanapeta kama wapendavyo?
na polisi (kova) wameahidi ku-patrol humu ili kusaka wachochezi!
 
Niliposoma mara ya kwanza sikupata kukuelewa mpaka pale niliporudia tena! Ahsante sana kwa kuuchangamsha ubongo wangu!

Hii ndio tafisiri yangu ya bendera yetu -Sisi ni Weusi-Wenye mali asili na misitu-Wenye mito,maziwa na bahari- Neno "common" hapa ni WENYE au Wamilki(static) na sio Watumiaji(Dynamic) hivo popote napoona bendera inapepea najua tunawaambia watu utumiaji wa rasilimal zetu sio utamaduni wetu.Sasa mi nashashangaa hawa Watu wa Mtwara wanakwenda kinyume kabisa na tamaduni zetu-Ni kweli tumejenga shule lakini lengo letu watu wajue kusoma na kuandika na hasa Kiingereza ndio maana tumeamua kutafirisi matokeo ya F4 upya-lakini kuna watu wanajifanya vipanga et mainjinia sijui wanafanya reseach infact hawa tutawapa shikamoo tu-Ni kweli tumejenga hospitali nia yetu ni wagonjwa wapate nafuu tu hivo madokta kwanza hatuwapi vifaa na pili watalipwa kiduchu mpaka wananchi watakapopenda kupona!Hivi nyie watu wa Mtwara kwani hamjajengewa Daraja ili USED zetu zipite?Kwani mihogo imekataa kuota?Kuni hakuna?Tafadharini sana msituharibie tamaduni zetu au kwa vile mnajua kuogelea ndio maana mnataka kutuzamisha kwenye mambo yenu?
 
Back
Top Bottom