Gerson Msigwa: Meli iliyokamatwa na Cocaine El Salvador imesajiliwa Zanzibar, na tayari imefutiwa usajili

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania.

Msigwa amesema meli hiyo ilisajiliwa Zanzibar kupitia wakala, na kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukua hatua ya kuifutia usajili meli hiyo.

Soma > El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Ikumbukwe kuwa, Februari 19, 2026, katika eneo la La Unión nchini El Salvador, Jeshi la Majini la taifa hilo lilitangaza kukamata meli iliyokuwa imebeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya cocaine. Mzigo huo ulikuwa ukisafirishwa baharini, umbali wa takriban maili 380 kusini-magharibi mwa pwani ya bahari ya Pasifiki ya nchi hiyo.

Kukamatwa kwa meli hiyo kunatajwa kuwa sehemu ya operesheni za kuimarisha mapambano dhidi ya usafirishaji haramu wa dawa za kulevya katika ukanda huo.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania.

Msigwa amesema meli hiyo ilisajiliwa Zanzibar kupitia wakala, na kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukua hatua ya kuifutia usajili meli hiyo.

Soma > El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Mara hii tumegeka narcostate!!
 
Kwahio hapo solution ni kuifuta usajili?? kwanini wasitoe ripoti ilipataje pataje usajili hata kama ni wakala??? Kuna meli ingine ilishawahi kamatwa na madawa Scotland ikiwa inapeperusha bendera ya Tanzania na ilisajiliwa bongo pia. Wasijitoe ufahamu wasajili wanakua wanajua hizo deals na wanakua wanavuta michongo. Nani asiejua kua bongo ndio transit ya ngada sasa hivi. Hivi wale wa Iran waliokamatwa wakiwa na mashua imejaa ngada kule Kilwa waliishia wapi?? Bongo kuna bandari nyingi sana zisizo rasmi maarafu kwa kushusha ngada.
Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania.

Msigwa amesema meli hiyo ilisajiliwa Zanzibar kupitia wakala, na kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukua hatua ya kuifutia usajili meli hiyo.

Soma > El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Rationale ya kukubali kusajili meli ambayo haigusi territorial waters of Tanzania ni nini hasa?
 
Bahati mbaya jina la aliyesajili lilifutika wakati wa ghasia za O29, tutapitia tume ya Jaji ili tuone kama litaonekana.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania.

Msigwa amesema meli hiyo ilisajiliwa Zanzibar kupitia wakala, na kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukua hatua ya kuifutia usajili meli hiyo.

Soma > El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

There're still more questions than answers, bado hajaongea lolote la maana apart from clarifying kwamba registration haijafanyika Tanganyika bali imefanyika Zenji. Mpaka hapo lazima kuna mtu ataangushiwa jumba bovu, mtu ambaye ni mdogo mno with zero significance ili ionekane wapo waliowajibishwa.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania.

Msigwa amesema meli hiyo ilisajiliwa Zanzibar kupitia wakala, na kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukua hatua ya kuifutia usajili meli hiyo.

Soma > El Salvador yakamata tani 6.6 za cocaine, meli iliyobeba unga ina bendera ya Tanzania!

Zanzibar ni nani katika sheria zakimataifa? Zanzibar ni sovereign state? Zanzibar anasimama kama subject of international law?
 
Kuna member ametoa povu kwenye uzi wa mwanzo kukamatwa meli hiyo akisema wazanzibar ndio walioweka bendera hiyo! Sawa ilisajiliwa zanzibar, kwa nini wasiweke bendera yao ili hali wanayo?
Huyu lopolopo msigwa ni muongo, Zanzibar hawezi kujitambulisha kama sovereign state na hawezi kusajili chochote kwa mujibu wa sheria za kimataifa. Sovereignty is indivisible, huo mzigo unaiangukia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tanzania sasa kama Mexico
 
Back
Top Bottom