Huyo ni aina wa dinosaur(Urefu mita 12.6 na uzito unliokadiriwa tani 80) mabaki yake yaliyochukuliwaga kutoka kilima cha Tendaguru mkoani Lindi.Mabaki yaligunduliwa na Engineer Mjerumani mwaka 1906.Kisha baadaye kati ya mwaka 1906 na 1913 mabaki yake yalipelekwa kule Ujerumani katika Natural Science Museum of Berlin.Na sasa Ujerumani inapata kipato kikubwa kwa kivutio hichi.Sasa nilisikia kwamba TZ inafanya mchakato wa kumrudisha nyumbani..Mara eti wanajenga jengo la kuhifadhia hayo mabaki.Sasa serikali ya Tanzania imefikia wapi?Isije ikawa kuna mtu anakula "ten percent" ya mapato ya kutoka Ujerumani?
Huyo ni aina ya Dinosaur aitwaye BrachiosaurusMkuu umefumba jukwaa lako, Huyo BD ndiyo kitu gani MJUSI, KINYONGA ,MAMBA, NYOKA AU KIFAA CHA KIJESHI. FUNGUKA KAMA GT - WA JF BANAAAA.
Huyo ni aina wa dinosaur(Urefu mita 12.6 na uzito unliokadiriwa tani 80) mabaki yake yaliyochukuliwaga kutoka kilima cha Tendaguru mkoani Lindi.Mabaki yaligunduliwa na Engineer Mjerumani mwaka 1906.Kisha baadaye kati ya mwaka 1906 na 1913 mabaki yake yalipelekwa kule Ujerumani katika Natural Science Museum of Berlin.Na sasa Ujerumani inapata kipato kikubwa kwa kivutio hichi.Sasa nilisikia kwamba TZ inafanya mchakato wa kumrudisha nyumbani..Mara eti wanajenga jengo la kuhifadhia hayo mabaki.Sasa serikali ya Tanzania imefikia wapi?Isije ikawa kuna mtu anakula "ten percent" ya mapato ya kutoka Ujerumani?[/QUOTE
Siyo kurudisha mabaki tu!na pesa zetu walizotuibia toka mwaka 1906 warudishe na faida yake kwa uhalisia,hawa wajerumani mavi kabisa ndiyo hawa waliogawa Lake Nyasa kwa wamalawi wametuachia ugomvi mkubwa bado wanaendelea kutuibia wezi wakubwa hawa hawana maana kabisa.

Ili weje? Umekosa hoja za kujadili? Aisee kweli dunia ina vituko
ni kweli waliwahi kuzungumzia bungeni miaka ya nyuma wakasema kwamba bado hatujaweza kuwa na uwezo wa kumtunza lakini ujerumani wanapata pesa nyingi kupitia utalii kwanini na sisi tusiwe tunafaidika na hizo pesa au miaka 50 ya uhuru tunashindwa kusimamia hicho kitu
Lini Ujerumani Watarejesha Mabaki ya Mjusi Mkubwa (Dinosaur) Wetu.
1.Wadau suala hili lilizungumzwa sana miaka michache iliyopita na kulikuwa na dalili nzuri. Lakini ni muda mrefu sasa sijaskia lolote huku hawa jamaa wakiendelea kupiga hela kwa mjusi wetu huyu.
2.Nimefatilia historia ya mijusi hawa na kuona kumbe kuna mabaki mengine mengi zaidi ya wadudu hawa walioishi zaidi ya miaka milioni 240 iliyopita yalipatikana maeneo ya ziwa nyasa (nyasasaurus) lakini haijaelezwa mabaki yao yalipelekwa wapi na km nchi tunafaidika vipi.
Naona km taifa tunapoteza pesa na historia ya nchi kirahisi hivi.Mwenye ufahamu wa haya mambo msaada pls.