Maoni yangu Ujerumani itaifunga Ufaransa mbele ya mashabiki wake kisha kutinga fainali then kuifunga tena ureno na kurudi Berlin na kombe ni hayo tu kwa sasa mkuu Pdidy
Maoni yangu Ujerumani itaifunga Ufaransa mbele ya mashabiki wake kisha kutinga fainali then kuifunga tena ureno na kurudi Berlin na kombe ni hayo tu kwa sasa mkuu Pdidy
Katika mchezo utakao pigwa leo Stade Velodrome saa nne usiku baina ya France na Germany je kuna uwezekano wa match hii kutoa goal to goal yaani kila mmoja kuona nyavu ya mwenzie?Mawazo yenu wadau wa soka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.