Gostavo anaweza kuondoka, kukaa benchi kunaweza kumfanya akose namba timu ya taifa.
Wewe unasema nimekua mpole, mwingine ananiambia matumizi ya lugha!!!
Unazani hivi vigoal vya Roben vitazui msiba wa Bavarians?
Bayern wanakoswakoswa hapa, Gundogan anawapeleka kama anavyotaka mpaka Pep kaamua kumtoa kiungo, Tony Kroose, kamuingiza beki lakini haijasaidia kwani Reus kawatia BAO LA NNE hawa bavarians
Reus, namkubali mmoja wa viungo bora Ujerumani, anapigwa sana "Masokonyo"Bayern wanakoswakoswa hapa, Gundogan anawapeleka kama anavyotaka mpaka Pep kaamua kumtoa kiungo, Tony Kroose, kamuingiza beki lakini haijasaidia kwani Reus kawatia BAO LA NNE hawa bavarians
Mkuu mapema sana, huna roho ya mkoloni nini? Never say die......hahahahahaaa!
Bayern wanakoswakoswa hapa, Gundogan anawapeleka kama anavyotaka mpaka Pep kaamua kumtoa kiungo, Tony Kroose, kamuingiza beki lakini haijasaidia kwani Reus kawatia BAO LA NNE hawa bavarians
Usiku mwema.
pole kaka,kajipumzikie tu,labda ukiamka asubuhi utakuta highlights 4-4