Katakata haswaaaa, what a goal, pale hata angekuwepo golini Casillas, Reina na Valdez bado kitu kingezama tena choteee
Roben anaipatia Bayern 2nd goal, dk 64
January kuna hatiati kiungo mmoja kuondoka.Bastian Schweinsteiger yupo bench, Martinez hayupo kabisa
Bayern wameitelekeza 'tikataka' naona na wameanza kutembeza daruga
Wewe unasema nimekua mpole, mwingine ananiambia matumizi ya lugha!!!
Unazani hivi vigoal vya Roben vitazui msiba wa Bavarians?
Gostavo anaweza kuondoka, kukaa benchi kunaweza kumfanya akose namba timu ya taifa.Bora waondoke kuliko wakianza kulalamika, maana Pep anaonekana atamfeva Thiago