Kwa kweli unakosa uhondo hasa wa Dortmund, wanacheza mpira wao uleule uliowapeleka fainali za UCL, mahesabu makalii
Mimi napinga, you wanna bet?
Bavaria watashinda hii game, nani anabisha? Japo tumetupiwa ki1
Halafu na hicho kitoto chake Thiago, kitamcost asipoangalia
Mwenzako Cisse alijifanya Imamu akakataa hata kuvaa jezi za wakopesha pesa, juzi kaumbuka na picha zilizomwonyesha akiwa Casino.
Kila la kheri na Bavarians wako
Mwenzako Cisse alijifanya Imamu akakataa hata kuvaa jezi za wakopesha pesa, juzi kaumbuka na picha zilizomwonyesha akiwa Casino.
Kila la kheri na Bavarians wako