Usiku mwema.
Hahahahahahahaaaaa, au akiweka TBCCM unaweza kuta ni 4-4
Naona Dortmund ndio wanacheza tikataka
Bwana Mdogo Pep, karibu Bundasliga. FT Dortmund 4-2 Bavarians
Pole sana
nathan pep leo hakuwa serius ribery, bastian, martinez haya majembe ndo roha, utagundua apo pep alikuwa na mwili tu roho haikuwepo
Mzee mwenzangu, huyu Gundogan ndio anafaa kuvaa jezi za Bianconeri akampunguzie mzigo mzee Pirlo, au unaonaje?
Hapana, kupanga ni kuchagua, yeye kamuona Thiago anajua sana kuliko Schweinsteiger na matokeo kayapata nadhani! Ribbery nadhan ana majeruhi!
Vipi,mpira ulikuwaje kwa ujumla mkuu?bayern wamechezaje chini ya Guardiola?
Huyu huwa anapenda sana kukaa team ambazo zimesukwa. Kaona Bayern kila mchezaji ni mzuri basi kaamua kujipangia tu. Ile sio Barcelona kwamba unamtoa Villa na kumweka Cesc kama alivokuwa anafanya au kumtoa Pique na kumweka Javier Mascherano wkt yeye ni kiungo. Akawa anamwanzisha kila mechi Sergio B, ila Mascherano alikuwa Bench au anawekwa Beki.
Shame on u Pep
Mkuu na wewe unawapenda Amakhosi?
Leo napumua!ac milan kashinda,dortmund kashinda,kaizer chiefs kashinda uuups!...hivi stars matokeo vipi?