Kiroroma
JF-Expert Member
- Feb 6, 2009
- 370
- 114
Nyumba za iliyokuwa THA na TRC a.k.a Gerezani Quorter zinavunjwa leo hii kupisha kituo cha mradi wa mabasi yaendayo haraka(DART Project).Zoezi hilo limekuja baada ya amri ya mahakama kutolewa na uongozi wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuwatangazia wakaazi hao kuhama mara moja. Kwa wale waluoko maeneo ya hapo Gerezani mtakuwa mnawaona Yono Auction Mart wakiranda randa eneo la kazi tayari kwa kazi.