fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
kwa suala la bandari kila kitu kipo sahihi ni uzandiki wa baadhi ya watu wenye mawazo finyu kama yako ndio mna wasiwasiKila Nikiwaza kuandika huu uzi nilikuwa najishauri sana, mwishowe nimeona tu bora niandike ili dukuduku langu liishe.
Hivi karibuni watangazaji wakituo cha Wasafi FM Gerald Handom Maulid Kitenge na Zembwela walienda mpaka ziliko ofisi za DP Word kwenda kudanya mahojiano na wafanyakazi mbalimbali wa kampuni hiyo juu ya utendaji wao katika masuala mbalimbali ya bandari.
Kwangu ziara hiyo haikua na maana sana sababu kinachopingwa na watanzania wengi sio utendaji wa hao jamaa, hakuna anaepinga kua jamaa wako vizuri. Ila kinachopingwa ni aina ya mkataba. Sasa katika watangazaji hawa ningeweza kuelewa kama Maulid Kitenge na Zembwela wakifanya ushabiki wa haya masuala sababu upeo wao wa kuchambua mambo kama haya sio mkubwa kama Gerald.
Maulid Kitenge hua anaropokaga tu anadhani akiongea kwa sauti na ushabiki mkubwa ndio watu wataelewa. Sio mjenga hoja kwenye issues nyeti za msingi. Zembwela anaweza kua anajua kujenga hoja lakin maranzingio huonekana kwenye vipindi ambavyo sio serious sana hivyo uwezo wake unaweza ukawa unafichwa na hilo.
Lakin Gerald Hando wewe toka ukiwa Clouds FM msimamo wako ulikua ni wa kutetea wanyonge. Wewe ulikua hutetereki kuongea ukweli. Ulikua huogopi kabisa na kipindi hicho uko clouds ulikua hot kweli kaka. Kipindi chako cha Power Breakfast kilikua ho sana kwenye ile segment ambayo ulikua ukizungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu jamii. Umejadili mengi sana na kwa weledi sana kwenye hicho kipindi cha PB. Nadhan hata leo hii kama bado ungekua pale ungepinga hili.
Hata ulipoingia EFM bado ulikua hujaacha kuongelea mambo mbalimbali yanazohusu jamii. Nakumbuka ulisimamishwa hata EFM sababu ulikua ukitetea juu ya nchi kukopa kulikopitiliza. EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi.
Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo
MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...www.jamiiforums.com
Sasa Gerald Hando wa sasa umekuaje? NIni kimekubadilisha msimamo? Ni wewe kweli unaungana na Mtu roporopo kama Maulid Kitenge kutetea kitu ambacho unajua sio sahihi? Najua mtakua mmelipwa ili mtetee ulaji lakini roho yako kweli haikusuti kwa usaliti unaoufanya? Au kuna mahali umebanwa kifedha ukaona ufate msemo wa "mtumikie kafiri upate utajiri"??
Ukweli sijaamini na sintoamini kama kweli eti wewe Gerald Hando unaamini kua ule mkataba wa DP World na Serikali hauna dosari yoyote ile,
Njaa mbaya Mkuu, na ndio imemfanya ajilipue na kusimama upenade wa "yule mwovu"Sasa Gerald Hando wa sasa umekuaje? NIni kimekubadilisha msimamo? Ni wewe kweli unaungana na Mtu roporopo kama Maulid Kitenge kutetea kitu ambacho unajua sio sahihi? Najua mtakua mmelipwa ili mtetee ulaji lakini roho yako kweli haikusuti kwa usaliti unaoufanya? Au kuna mahali umebanwa kifedha ukaona ufate msemo wa "mtumikie kafiri upate utajiri"??
Mimi binafsi naamini kama kweli aliamua kupambana why aje atetereke kisa bills??Njaa haina adabu kaka. Kaka wa watu alipopoteza kibarua sote sie tukaongea kidogo tukaacha hakuna ambaye hata aliamua kuanzisha mchango wa MPESA ili jamaa tumjaze manoti km shujaa ili aendelee kuishi.
Jamaa ana bills za settle, anawatoto wanataka ada kwa hiyo unataka ukoo wake utaabike.
Yujifunze kuwaenzi wote wanaojitolea muda wao na hata kazi na maisha yao kwa kusimamia kweli.
Jamaa ameamua kuwajoin ili bili zake zilipike, UMUACHE!!!!!
Mwisho wake!Kila Nikiwaza kuandika huu uzi nilikuwa najishauri sana, mwishowe nimeona tu bora niandike ili dukuduku langu liishe.
Hivi karibuni watangazaji wakituo cha Wasafi FM Gerald Handom Maulid Kitenge na Zembwela walienda mpaka ziliko ofisi za DP Word kwenda kudanya mahojiano na wafanyakazi mbalimbali wa kampuni hiyo juu ya utendaji wao katika masuala mbalimbali ya bandari.
Kwangu ziara hiyo haikua na maana sana sababu kinachopingwa na watanzania wengi sio utendaji wa hao jamaa, hakuna anaepinga kua jamaa wako vizuri. Ila kinachopingwa ni aina ya mkataba. Sasa katika watangazaji hawa ningeweza kuelewa kama Maulid Kitenge na Zembwela wakifanya ushabiki wa haya masuala sababu upeo wao wa kuchambua mambo kama haya sio mkubwa kama Gerald.
Maulid Kitenge hua anaropokaga tu anadhani akiongea kwa sauti na ushabiki mkubwa ndio watu wataelewa. Sio mjenga hoja kwenye issues nyeti za msingi. Zembwela anaweza kua anajua kujenga hoja lakin maranzingio huonekana kwenye vipindi ambavyo sio serious sana hivyo uwezo wake unaweza ukawa unafichwa na hilo.
Lakin Gerald Hando wewe toka ukiwa Clouds FM msimamo wako ulikua ni wa kutetea wanyonge. Wewe ulikua hutetereki kuongea ukweli. Ulikua huogopi kabisa na kipindi hicho uko clouds ulikua hot kweli kaka. Kipindi chako cha Power Breakfast kilikua ho sana kwenye ile segment ambayo ulikua ukizungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu jamii. Umejadili mengi sana na kwa weledi sana kwenye hicho kipindi cha PB. Nadhan hata leo hii kama bado ungekua pale ungepinga hili.
Hata ulipoingia EFM bado ulikua hujaacha kuongelea mambo mbalimbali yanazohusu jamii. Nakumbuka ulisimamishwa hata EFM sababu ulikua ukitetea juu ya nchi kukopa kulikopitiliza. EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi.
Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo
MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu. "Hakuna kibaya alichokisema Ndugai...www.jamiiforums.com
Sasa Gerald Hando wa sasa umekuaje? NIni kimekubadilisha msimamo? Ni wewe kweli unaungana na Mtu roporopo kama Maulid Kitenge kutetea kitu ambacho unajua sio sahihi? Najua mtakua mmelipwa ili mtetee ulaji lakini roho yako kweli haikusuti kwa usaliti unaoufanya? Au kuna mahali umebanwa kifedha ukaona ufate msemo wa "mtumikie kafiri upate utajiri"??
Ukweli sijaamini na sintoamini kama kweli eti wewe Gerald Hando unaamini kua ule mkataba wa DP World na Serikali hauna dosari yoyote ile,
Jibu hoja kwa hoja. Kama kuna chochote unachofahamu katika nilichozungumzia kiweke hapa.kwa suala la bandari kila kitu kipo sahihi ni uzandiki wa baadhi ya watu wenye mawazo finyu kama yako ndio mna wasiwasi
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Ndio madhara ya kuambatana na Kitenge...Anaona aibu , hando huyu huyu tunaye mjua kawa chawa ropo ropo,jinga jinga
Kajidhalilisha sana, halafu wengi hawajui kitaaluma hando ni IT ,utangazaji alipewa nafasi na rugeNdio madhara ya kuambatana na Kitenge...
Hama nchiKila Nikiwaza kuandika huu uzi nilikuwa najishauri sana, mwishowe nimeona tu bora niandike ili dukuduku langu liishe.
Hivi karibuni watangazaji wakituo cha Wasafi FM Gerald Handom Maulid Kitenge na Zembwela walienda mpaka ziliko ofisi za DP Word kwenda kufanya mahojiano na wafanyakazi mbalimbali wa kampuni hiyo juu ya utendaji wao katika masuala mbalimbali ya bandari.
Kwangu ziara hiyo haikua na maana sana sababu kinachopingwa na watanzania wengi sio utendaji wa hao jamaa, hakuna anaepinga kua jamaa wako vizuri. Ila kinachopingwa ni aina ya mkataba. Sasa katika watangazaji hawa ningeweza kuelewa kama Maulid Kitenge na Zembwela wakifanya ushabiki wa haya masuala sababu upeo wao wa kuchambua mambo kama haya sio mkubwa kama Gerald.
Maulid Kitenge hua anaropokaga tu anadhani akiongea kwa sauti na ushabiki mkubwa ndio watu wataelewa. Sio mjenga hoja kwenye issues nyeti za msingi. Zembwela anaweza kua anajua kujenga hoja lakin mara nyingi huonekana kwenye vipindi ambavyo sio serious sana hivyo uwezo wake unaweza ukawa unafichwa na hilo.
Lakin Gerald Hando wewe toka ukiwa Clouds FM msimamo wako ulikua ni wa kutetea wanyonge. Wewe ulikua hutetereki kuongea ukweli. Ulikua huogopi kabisa na kipindi hicho uko clouds ulikua hot kweli kaka. Kipindi chako cha Power Breakfast kilikua hot sana kwenye ile segment ambayo ulikua ukizungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu jamii. Umejadili mengi sana na kwa weledi sana kwenye hicho kipindi cha PB. Nadhan hata leo hii kama bado ungekua pale ungepinga hili.
Hata ulipoingia EFM bado ulikua hujaacha kuongelea mambo mbalimbali yanayohusu jamii. Nakumbuka ulisimamishwa hata EFM sababu ulikua ukitetea juu ya nchi kukopa kulikopitiliza. EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi.
- Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo
Sasa Gerald Hando wa sasa umekuaje? NIni kimekubadilisha msimamo? Ni wewe kweli unaungana na Mtu roporopo kama Maulid Kitenge kutetea kitu ambacho unajua sio sahihi? Najua mtakua mmelipwa ili mtetee ulaji lakini roho yako kweli haikusuti kwa usaliti unaoufanya? Au kuna mahali umebanwa kifedha ukaona ufate msemo wa "mtumikie kafiri upate utajiri"??
Ukweli sijaamini na sintoamini kama kweli eti wewe Gerald Hando unaamini kua ule mkataba wa DP World na Serikali hauna dosari yoyote ile,
Uko sahihi sanaa.Njaa haina adabu kaka. Kaka wa watu alipopoteza kibarua sote sie tukaongea kidogo tukaacha hakuna ambaye hata aliamua kuanzisha mchango wa MPESA ili jamaa tumjaze manoti km shujaa ili aendelee kuishi.
Jamaa ana bills za settle, anawatoto wanataka ada kwa hiyo unataka ukoo wake utaabike.
Yujifunze kuwaenzi wote wanaojitolea muda wao na hata kazi na maisha yao kwa kusimamia kweli.
Jamaa ameamua kuwajoin ili bili zake zilipike, UMUACHE!!!!!
Duuuh bas tumuache jamaa, atetee uhai wake.Unataka Gerald Hando afanye utakavyo yakimtokea ya Azory Gwanda au Christopher Mtikila utakuwa tayari kuipa Matunzo Familia yake?
Na kwa Kukusaidia tu baada ya Kukichafua kule EFM na Kupigwa chini kwa Amri kutoka Chalinze na Magogoni alipokea Simu asizozijua huku akipigwa Biti na sasa anafuatiliwa na anaowajua na asiowajua ili akirudia tu Ukipendacho Wewe na Unachokililia hapa wenye Kazi yao Maalum wamalize Shughuli na awe Historia Kwenu na Tanzania.
Acheni kumponza Mwenzenu yamkute.
Hii kitu uliyoandika hapa haina maana mbele ya pesa mkuu!! Wee muache tu Gerald ale maisha, hii nchi kwa mfumo uliopo ni vzr uitafune sana pindi ukipata gap!!!Lakin Gerald Hando wewe toka ukiwa Clouds FM msimamo wako ulikua ni wa kutetea wanyonge. Wewe ulikua hutetereki kuongea ukweli. Ulikua huogopi kabisa na kipindi hicho uko clouds ulikua hot kweli kaka. Kipindi chako cha Power Breakfast kilikua hot sana kwenye ile segment ambayo ulikua ukizungumzia mambo mbalimbali yanayoihusu jamii. Umejadili mengi sana na kwa weledi sana kwenye hicho kipindi cha PB. Nadhan hata leo hii kama bado ungekua pale ungepinga hili.
Hufuatilii hotuba za huyu ninayemmwagia sifa ?!!!Huyo unaemmwagia sifa ameshindwa vipi kuondoa urasimu, na kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti upigaji na rushwa ili bandari yetu itunufaishe, na kwamba wageni ndio watakuja wakuboreshee bandari yako na kukuchumia faida bwerere, kwa mikataba ipi? Yuko wapi mwenye uwezo wa kushinikiza mikataba yenye win-win situation? Nchi imejaa majuha wengi kweli hii..!
Tanganyika dola haipo....ni marehemu...iko kaburini....Wana habari wa Tanganyika asilimia kubwa sio wazalendo wametanguliza njaa
[emoji2956][emoji2956]kwa suala la bandari kila kitu kipo sahihi ni uzandiki wa baadhi ya watu wenye mawazo finyu kama yako ndio mna wasiwasi
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Umechanganyikiwa?!!!Njaa mbaya Mkuu, na ndio imemfanya ajilipue na kusimama upenade wa "yule mwovu"
Ole wenu wazinzi, wezi, madhulumati,na wanyanganyi kwani kiama chenu ni lile ziwa liwakolo moto.
Njaa tumesababishiwa na TICTS kwa miaka 22 kushindwa kupakia na kupakua mizigo hadi mwezi mzima....AIBU HIINjaa mbaya sana yani adui mkubwa wa maendeleo ni umaskini kuliko hata ujinga
[emoji15][emoji15][emoji15]Akili ya kisoda hii miongoni wa wanaohoji ni wakili Fatma Karume na Profesa Ibrahim Lipumba nao wanataka wapewe waisrael taifa Leo teule?