Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 211
Katika kipindi cha kuperuzi ameanza kutetea kua inawezekana zile fedha tsh mil 150 zilizokua zimeibwa na majambazi kariakoo kisha wananchi kuzinusuru toka mikononi mwa majambazi na kisha kuzikabidhi kwa polisi kisha polisi hao kukabidhi begi tupu kituoni kwamba hao askari hawakugawana fedha hizo. Hando ameendelea na msimamo huo na kua yeye haamini kama askari hao waligawana fedha hizo eneo la jangwani.
Swali ni je yeye ni nani hadi atoe conclusion hiyo mbele ya media kabla hata kamanda kova atakae toa leo matokea ya tume aliyoiunda kuchunguza sakata hilo?
Au ndo Hando anatumika kutuandaa matokeo ya tume hapo badae?