Hawali walitangaza kua ambae ni Mwanachama wao anaweza kuchukua nusu ya mchango wake endapo anadharula,kama kodi ya nyumba,Elimu na vingine, cha kushangaza mtu ukienda kuchukua wanasema umekopa hapo mi sijaelewa vizuri unakopa vp pesa yako?naomba msaada wa maelezo kwa yule ambae amewaelewa wanamaana gani?