Georgina Mahiga aliyetungiwa wimbo wa “Georgina” ulioimbwa na Marijani Rajabu afariki Dunia

Kazaliwa 18 Jan 1956 akawa kidato cha pili (2) 1974 ina maana alianza shule akiwa na zaidi ya miaka 10?
Post ya uongo huu wimbo umetungwa mwaka 1973 na mtunzi anaitwa uvuruge alipiga second solo kwenye huo wimbo,hapo marijani aliyezaliwa 1955 alishamaliza sekondari na yupo safari trippers baada ya kuichezea simba tulikuwa wote gerezani kariakoo
 
Huyu mimi simjui lakini alikuwa na mdogo wake Mwalimu wa msingi pale Forodhani ni mzuri sanaaa kuanzia sura, umbo, miguu, wowowo ya wastani, romantic eyes na mwanya ambao unampendeza sana. Mara ya mwisho nilisikia alikuwa USA kisha akarudi bongo. Sina uhakika kama bado yuko bongo au alirudi Unyamwezini. Kwao wote kwa wale ninaowafahamu wamejaliwa uzuri wa hali ya juu ila huyo aliyekuwa Mwalimu Forodhani Primary ni moto wa kuotea mbali.
Yupo ,anaitwa JOSEPHINE MAHIGA, anakaa bunju ana ghorofa, Ni mzuri Hadi leo japo umri wake umeenda sana
 
Alikuwa mzuri sipati picha 1974 alikuwaje. Na hizo enzi hata family planning pills zilikuwa haba.

Tumetoka mbali sana
Nje ya mada, hivi ni kweli binti akitumia P2 Pills kuanzia mara 3 inaua mayai yake?
 
Post ya uongo huu wimbo umetungwa mwaka 1973 na mtunzi anaitwa uvuruge alipiga second solo kwenye huo wimbo,hapo marijani aliyezaliwa 1955 alishamaliza sekondari na yupo safari trippers baada ya kuichezea simba tulikuwa wote gerezani kariakoo
Dah! Mkuu umeupiga mwingi sana. Hongera
 
Dah! Mkuu umeupiga mwingi sana. Hongera
Namfahamu huyu Bwana Marijani kitambo sana alianza muziki akiwa mdogo sana miaka 15 alikuwa na bendi ya STC ,akatoka akajiunga safari tripers ndo akajoin Dar international baadae akawa frustrated akawa anauza tape zake mtaani kwake gerezani,siku anakufa 1995 niliumia sana,hiyo sauti kwenye Georgina alikuwa na miaka 18 tu
 
Georgina is a classic song, hauchoshi kuusikiliza hata watoto wangu wanaupenda.
 
Georgina is a classic sing, hauchoshi kuusikiliza hata watoto wangu wanaupenda.
David_Mussa_na_Marijani.jpg

Mtunzi ni huyo jamaa wa kulia mwenye kofia😀😀anaitwa jumanne uvuruge mpiga solo.huyo wa pili kulia ndio marijani.hii picha ya mwaka 75,wote hao wanne ni marehemu kwa sasa
 
View attachment 1855781
Mtunzi ni huyo jamaa wa kulia mwenye kofia😀😀anaitwa jumanne uvuruge mpiga solo.huyo wa pili kulia ndio marijani.hii picha ya mwaka 75,wote hao wanne ni marehemu kwa sasa
Hao wengine kwenye picha ni wakina nani. Kama una visa na Mikasa ya hawa jamaa naomba utuporomoshee. Maneti, Kingki, Kasaloo, Kanga, Makassy, Remmy nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom