George Simbachawene ni nani hasa?

Acha u
Acha Mbea usije kumharibia akaja kuwa kama kaka yake bwana ndugai alivyozimika katika anga za kisiasa na sasa ni baba wa nyumbani.
 
Vipi na Lukuvi???
 
Wakati Magufuli anaingia madaraka huyu alikua ni shati ndo alitoa Amri kwa tanesco wasiwe wanakata umeme kwa wapinzani wakati wa kampeni Magu akaingia akamtoa
 
Huyu ni mtu na anaweza kuja kushika nafasi nyeti mtu humble hana makuu
 
Ukiona hivyo ujue ni tiss huyo..
 
Mtafute mganga wake; hata Wassira alikuwa hivyo. Yupo tu!
 
Niliwahi kubahatika kukaa nae ni mtu na Nusu
Vile viti huwafanya wawe majuha tu. Akili huwarudia wakiachana navyo. Huo u mtu na nusu hutauna popote kama sasa tu ila akistaafu ataandika kitabu kujutia aliyofanya kitini.
 
alikuwa konda na dereva wa daladala
ni mwanasheria alisoma OPEN
Anatajwa kuja kuwa PM Baada ya uchafuzi mkuu 2025
hana jipyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…