Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,139
- 29,802
| School Name/Location | Course/Degree/Award | From | To | Level |
|---|---|---|---|---|
| Arusha Technical College | Full Technician Certificate | 1989 | 1992 | FTC |
| University of Dodoma | Masters in Public Administration | 2010 | 2013 | Masters Degree |
| Open University of Tanzania | LL.B | 2000 | 2005 | Bachelor Degree |
| Mazengo Secondary School | CSEE | 1985 | 1988 | Secondary School |
| Pwaga Primary School | - | 1978 | 1982 | Primary School |
| Mahomanyika Primary School | CPEE | 1983 | 1984 | Primary School |
| Company/Institution | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| Ministry of Energy and Minerals | Deputy Minister | 2012 | 2013 |
| Muzdalifah Charitable Dispensary | Managing Director | 2000 | 2001 |
| Urafiki Bus Service-Dodoma | Transport Officer | 1995 | 2000 |
| Future World Vocational Training Centre | Teacher/Instructor | 1997 | 1999 |
| Ministry of Land | Deputy Minister | 2013 | 2014 |
| Ministry of Energy and Minerals | Minister | 2014 | 2015 |
| Political Party | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| President's Office Regional Administration and Local Government | Minister | 2015 | 2017 |
| Chama cha Mapinduzi | Member of District Political Committee | 2002 | Todate |
| Local Authorities Accounts Committee of the Parliament | Member of the Committee | 2005 | 2010 |
| Administration and Local Governments Committee | Member | 2015 | 2018 |
| Subsidiary Legislation Committee | Chairman | 2010 | 2012 |
| Constituent Assembly | Member | 2014 | 2014 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2005 | 2010 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2010 | 2015 |
| Chama cha Mapinduzi | Member of the National General Meeting | 2005 | Todate |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2015 | 2020 |
| Chama cha Mapinduzi | Member of the Regional Executive Council-Dodoma | 2005 | Todate |
| Chama cha Mapinduzi | Member of the District Executive Council-Mpwapwa | 2000 | Todate |
| Ministry of Home Affairs | Minister | 2020 | 2025 |
| Vice President's Office responsible for Union Affairs and Environment | Minister | 2019 | 2020 |
| Budget Committee | Chairman | 2017 | 2019 |
| Parliament of Tanzania | Member of the Parliament | 2020 | 2025 |
Waziri: Tunataka hawa waliopata ufaulu duni fomu foo ili wasipate njia za kuondoka jeshi kwa kigezo cha kwenda kujiendeleza kielimu, watabaki tu wakiendelea kushika bunduki.Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi.
Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna mahali anaonekana kapitia JKT.
Nitashangaa kama Simbachawene ataendelea kuwepo sehemu asiyostahili.
Simbachawene akili hana, au ni kama haijui wizara yake!
Ambacho alihitaji kufahamu na kuongelea ni kwamba, Jeshi la Polisi, na hata Jeshi la Wananchi huwa wanaajiri kutokana na mahitaji.
Kuna wakati huwa wanaajiri hao "aliowaita" Walinzi wa Benki"! Hapa qualifications ilikuwa Kidato cha IV up to Div III (ingawaje nasikia siku hizi ONLY Div IV). Hapa ilikuwa inahitajika zaidi physique kuliko brain!
Wakati mwingine mahitaji yanakuwa ni "watalaamu"
Hii ilitokea sana wakati wa Kikwete na kidogo wakati wa Mkapa (huyu Mwamba sitasahau alichomfanyia braza).
Jeshi la Polisi lilipokuwa linahitaji Wataalamu, huwa wanaajiri watu wenye bachelor degrees! Hawa ilikuwa wakishatoka depo pale Moshi, unapiga lindo lako kama miezi 6 hadi mwaka, kisha unapelekwa Chuo cha Polisi Kurasini kubeba mawe yako!
It's easier to retain graduate aliyepata Div I Form IV kuliko kum-retain Form IV Leaver aliyepata Div II.
So, inawezekana kutokana na nature ya jeshi lenyewe, vitengo vinavyohitaji elimu ya juu vimeshajaa na hivi sasa wanahitaji tu watu wa kukimbizana na CHADEMA mitaani!!
But guys, hiyo sio kwa Jeshi la Polisi peke yake, kwa sababu ukichukua mtu wa Div I, it's obvious itafika wakati dogo atakukimbi tu ili akaendelee na elimu! Ukitangaza nafasi za Bank Teller Form IV Div I, lazima utawapata wa kutosha lakini baada ya muda watagundua walichofanya ni uboya na hivyo watakuachia benki yako ili wakasome!!
Miaka ya nyuma NMB walifanya hiyo mistake... wanaajiri Graduate kisha wanawaweka kwenye vyumba vya kutoa pesa (Tellers)! Kukawa na Employee Turnover ya kutisha kila mwaka... NMB wakashtuka kwamba, at least by the time, huwezi kuajiri graduate umfanye Teller!! Sasa hao Form IV Div I leo hii ukiwaajiri benki, hakuna utakapoweka zaidi ya kuwa Tellers wakati wanajiona kabisa ni undisputable Future Graduates... watakukimbia tu!!
Konda wa mabasi anakuwa je Waziri kwenye serikali.... Then we are lost.Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Inashangaza sana !Konda wa mabasi anakuwa je Waziri kwenye serikali.... Then we are lost.
Umewaza juujuu sana mkuu, naamini hauko serious , pengine unapiga vijembe.Konda wa mabasi anakuwa je Waziri kwenye serikali.... Then we are lost.
Huyu Waziri kazingua sana Kauli yake hiiAti msomi wa Div 1 hawezi kulinda benki!!!!
[emoji848]
Huyu Waziri kazingua sana Kauli yake hiiAti msomi wa Div 1 hawezi kulinda benki!!!!
[emoji848]
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Huyu Waziri kazingua sana Kauli yake hii
Statement aliyotoa si ya mtu aliyepitia mafunzo yoyote ya ulinxi na usalama.Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Statement aliyotoa si ya mtu aliyepitia mafunzo yoyote ya ulinxi na usalama.
Inashangaza anakuwaje waziri wa Mambo ya Ndani, a very sensitive position.
Au walikuwa watoroWengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Ukiwa na tatizo la kimtazamo na kiutendaji toka level ya waziri basi hata performance ya vyombo chini yake inakuwa shaghala baghala.
Kwani alishindwa nini kipindi kile cha wabunge walivyo lazimishwa kwenda jkt?Wengi katika madaraka hawakugusa JKT , yuko mwingine kule Zanzibar , hata hivyo namtetea Simbachawene , huyu alikuwa konda wa mabasi ya mikoani pale stendi , isingekuwa rahisi kwake kupita JKT
Kama ni kweli basi jeshi hilo halistahili kuzungumzia mambo ya kiwelediWaziri: Tunataka hawa waliopata ufaulu duni fomu foo ili wasipate njia za kuondoka jeshi kwa kigezo cha kwenda kujiendeleza kielimu, watabaki tu wakiendelea kushika bunduki.
Nilivyoelewa Mimi: Ni kweli tumetaka watu wenye ufaulu mdogo fomu foo ili wasiweze kusoma na kutafsiri vizuri sheria zinazowaongoza kufanya kazi / majukumu yao. Sheria ya Jeshi la Polisi na Askari wasaidizi, PGO nk, hii itarahisisha utekelezwaji wa mambo tuyatakayo sisi wenye serikali.