George masatu

Mkuu umenikumbusha those days when men were men!!
 
Jamaa alikuwa akisimama pale nyuma katika ukuta alikuwa katulia sana. Hata mashambulizi yawe makali vipi alikuwa hababaiki halafu ni mtu poa sana.

Pamba na Simba mkuu ila kabla ya kuja pamba sijui alitokea wapi!
 
Dah hii thread imenipa usiku mzuri sana! Watu mna majibu ready made!
 
Magere Masatu George ......

Alikuwa ni mchezaji mfupi aliye kuwa anacheza beki number 5, lakini ndio alikuwa mchezaji ambaye amaweza sana kucheza mipira ya vicha, pia alikuwa ni fundi wa kupiga penati.

Nani Zaidi kati ya G.M. Masatu na Godwin Kichemu wa Iliyokuwa RTC Kagera baadaye Kagera Stars na sasa Kagera Sugar?
 
Mkuu umenikumbusha those days when men were men!!

Uwezo wa hao watu ni sawa ni zaidi ya Akina Chamack wa Arsena but they still poor or died poor
This world is never fair at all
 
Nimekupata mkuu,ila George Masatu ninayemsema mimi ni huyu alishawahi kuwa beki wa simba kipindi fulani kumbe pia alishawahi kuwa kipa pia wa toto afrikan sikuwahi kusikia kabisa kama alikuwa kipa pia!

Washavuta bangi hao achana nao wasikupotoshe
 

Bora wewe umekuja na kitu useful wengine humu wametoka kupuliza kitu cha Arusha ndo wameingia kwenye hii thread
 
Alichezea timu gani miaka ya 1990
kaka usife moyo kwa majibu yakibwege uyapatayo hapa,tatizo kuna watu wanajifanya wanajua sana humu na wanafikiri kila mtu anajua kila kitu.kama nina kumbukumbu nzuri nafikiri ni simba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…