GEORGE MARATO na swagga zake za ki MURANGIRA

GEORGE MARATO na swagga zake za ki MURANGIRA

Hivi huyu bwana toka akiwa mdogo alikuwa akizungumza namna hiyo au alikuja kupata tatizo la sauti ukubwani?
 
Hahaha saut yake inaniacha hoi huwa anafanya makusud ni wa siku nying sana
 
Aaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiittttttttttttttttttttttttttttttttviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hiyo ni identinty na trademark yake safi sana George Marato wa ITViiii kaza buti!
 
Back
Top Bottom