WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Huyu jamaa kwa sasa simu zake zimepungua mwaka 2010 alikuwa na simu 12 na kati ya hizo zenye line ya Voda zilikuwa sita,yani jamaa sijui tatizo nini??!!
kumbe ndo huyu joji maratu? mbona sura yake haifananii na swagaa za itttttttttttvvvvvvvvvvvvv
ha ha haaah!! Jamaa ana swaga za ajabu sana.
Nikiripoti kutoka mara mimi ni Goooorge Maratu wa iiiiiittttttttvvvvvv
katoto ka jirani yangu hakajui hata kusema neno baba, lakini utakasikia kakimalizia atiiiiiii iiiiiiiiiiiiiiiiii
Hivi waandishi ndio wanatakiwa kuwa na masimu yote hayo?
Au jamaa ana kazi nyingine ya kumuongezea kipato kwa kutibu simu za kichina?
![]()
Halafu suti aliyovaa si ya kawaida...ni ya Usalama wa Taifa! Kumbe huyu naye hafai
like ya moyoni ina sound zaidi kuliko ile ya mtandaonilo! Bujibuji you made my day nimecheka sana. Sijaona kitufe cha like ningekugongea.
Misimu yote ya nini....anayabebaje?