SourceAsked about Townsend’s post, George H.W. Bush spokesman Jim McGrath in an email replied, "The vote President Bush will cast as a private citizen in some 50 days will be just that: a private vote cast in some 50 days. He is not commenting on the presidential race in the interim."
Hizi ndio politics za ukweli za kuranguliza mbele maslahi ya taifa beyond party politics kuna wakati nilisema jinsi CCM ilivyooza kwa rushwa na ufisadi, Mwalimu Nyerere angefufuka, angeipiga chini CCM na kum endorse mgombea wa upinzani kama ni mtu safi! .
Pasco
Mkuu Bukyanagandi,Pasco, kwanza unajua familia ya Bush biashara yao kuu ni hipi, je unafikiri Bush angeweza kumpigia kura mtu ambaye anamchukulia kama ndiye alisababisha mtoto wake (Jeb Bush) akose nafasi ya kugombea Urais kwa tiketi ya Republican - one more thing, ni viwanda vingapi vya silaha na ndege za vita vinazo hudwa kutoka jimbo la TEXAS - jimbo ambalo familia ya Bush wanaishi, kumbuka vile vile JFKennedy aliuuwawa Dallas Texas unajua kwa nini?
Bush Sr aliwahi kuwa Balozi China, baadae Cheo cha ukurugenzi mkuu wa CIA, makamu wa Rais mwisho Rais kamili - naturally yupo kwenye kundi la Establishment ambalo alitaki mtu ambaye anaonekana ni independent minded kama TRUMP wanamuogopa hawataki abandirishe status quo waliyo zoea miaka nenda rudi.
Group nzima hipo karibu na matajiri wachimba/wauza mafuta ambao familia ya Bush ni member, mabepari wenye viwanda vya kuhunda silaha na ndege za vita, Majenelali wapenda vita nk - Group yote hiyo ndiyo inampiga vita TRUMP kwa kujaribu kumu-demonise - TRUMP akisema statement ya kawaida wao wakishirikiana na MSM wanayakuza kupindukia ili aonekane hafai!! Sina shaka uliwahi kuona atittude za Jeb BUSH alipo kuwa kwenye midahalo akiwa na TRUMP na candidates wengine wa Rupublican - Jeb alionekana anamshambulia sana TRUMP kuliko wengine, kwa nini - kwa watu wanao fatilia kwa karibu kinacho endelea huko wala hatushangazwi na statement za Bush Sr yote hayo yamepangwa kimaksudi kutaka kuonyesha kwamba hata ma stalwart wa Republican party hawamkubali TRUMP yote hayo ni usanii tu lakini Mungu na Dunia yote hipo pamoja na TRUMP, huyu mtu ndiye anaweza kuhepusha Dunia na vita ya tatu ya Dunia - mtakuja kuniambia.
Mkuu Bukyanagandi,
I respect your opinion.
Pasco
"Kama ni mtu SAFI"Hizi ndio politics za ukweli za kuranguliza mbele maslahi ya taifa beyond party politics kuna wakati nilisema jinsi CCM ilivyooza kwa rushwa na ufisadi, Mwalimu Nyerere angefufuka, angeipiga chini CCM na kum endorse mgombea wa upinzani kama ni mtu safi! .
Pasco
......uchambuzi sio mbaya ila bado kiswahili kinakusumbua hasa matumizi sahihi ya herufi "h", "r" na "l". nime-boldPasco, kwanza unajua familia ya Bush biashara yao kuu ni hipi, je unafikiri Bush angeweza kumpigia kura mtu ambaye anamchukulia kama ndiye alisababisha mtoto wake (Jeb Bush) akose nafasi ya kugombea Urais kwa tiketi ya Republican - one more thing, ni viwanda vingapi vya silaha na ndege za vita vinazo hudwa kutoka jimbo la TEXAS - jimbo ambalo familia ya Bush wanaishi, kumbuka vile vile JFKennedy aliuuwawa Dallas Texas unajua kwa nini?
Bush Sr aliwahi kuwa Balozi China, baadae Cheo cha ukurugenzi mkuu wa CIA, makamu wa Rais mwisho Rais kamili - naturally yupo kwenye kundi la Establishment ambalo alitaki mtu ambaye anaonekana ni independent minded kama TRUMP wanamuogopa hawataki abandirishe status quo waliyo zoea miaka nenda rudi.
Group nzima hipo karibu na matajiri wachimba/wauza mafuta ambao familia ya Bush ni member, mabepari wenye viwanda vya kuhunda silaha na ndege za vita, Majenelali wapenda vita nk - Group yote hiyo ndiyo inampiga vita TRUMP kwa kujaribu kumu-demonise - TRUMP akisema statement ya kawaida wao wakishirikiana na MSM wanayakuza kupindukia ili aonekane hafai!! Sina shaka uliwahi kuona atittude za Jeb BUSH alipo kuwa kwenye midahalo akiwa na TRUMP na candidates wengine wa Rupublican - Jeb alionekana anamshambulia sana TRUMP kuliko wengine, kwa nini - kwa watu wanao fatilia kwa karibu kinacho endelea huko wala hatushangazwi na statement za Bush Sr yote hayo yamepangwa kimaksudi kutaka kuonyesha kwamba hata ma stalwart wa Republican party hawamkubali TRUMP yote hayo ni usanii tu lakini Mungu na Dunia yote hipo pamoja na TRUMP, huyu mtu ndiye anaweza kuhepusha Dunia na vita ya tatu ya Dunia - mtakuja kuniambia.
Hizi ndio politics za ukweli za kuranguliza mbele maslahi ya taifa beyond party politics kuna wakati nilisema jinsi CCM ilivyooza kwa rushwa na ufisadi, Mwalimu Nyerere angefufuka, angeipiga chini CCM na kum endorse mgombea wa upinzani kama ni mtu safi! .
Pasco
Kama TCRA wangekuwa na uwezo wa kuigusa JF, wewe sasa ndio unataka kuleta kashfa.Yaani Mwl Nyerere angempiga chini Magufuli halafu angemchagua Edward Lowassa??? Sema Astaghfirullah!
Yaani Mwl Julius Kambarage Nyerere wa Burito yule Mzanaki wa Butiama akachague Mgombea wa Kina Rostam? TCRA wakumulike kwa kumkashifu Baba wa Taifa!
......uchambuzi sio mbaya ila bado kiswahili kinakusumbua hasa matumizi sahihi ya herufi "h", "r" na "l". nime-bold