George H.W.Bush ametimiza miaka 90 leo hii

George H.W.Bush ametimiza miaka 90 leo hii

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,218
Askali huyu wa zamani wa jeshi la Marekani kwenye jeshi la anga ametimiza miaka 90 leo huku akiwa na afya nzuri .miaka mingi hii bandugu si mchezo.
 
kilichonishangaza ni putin kumtumia salamu za bethdei
 
askali huyu wa zamani wa jeshi la marekani kwenye jeshi la anga ametimiza miaka 90 leo huku akiwa na afya nzuri .miaka mingi hii bandugu si mchezo
Afya nzuri wakati anatembelea wheelchair?
 
Back
Top Bottom