afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,271
Clooney, who has long campaigned against the government in Khartoum, had intended to be arrested when he planned the protest. Nchi nyingine raha. Unapanga kabisa kuwa arrested lini, wapi, na nani. Au ndio kusema haogopi washawasha?
Hahahaaaa USA baby! The land of the free and home of the brave.
do you want a chocolate chip cookie?
umeona picha zingine nilizoweka.
US Marine drinks the blood of a cobra.... ( https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/236658-this-week-around-the-world.html)
na dhani ni publicity tu.
ujumbe wako utawafikia wengi ..
maana mtu akisikia George Clooney amekamatwa atataka kujua sababu..
Hahahaaaa USA baby! The land of the free and home of the brave.
USA hawawezi ku claim ni land of the free and home of the brave mpaka waruhusu ukewenza na vyama vya kikomunisti.
Labda "free" wanaoogelea ni ule wa watu wa US..
wako huru kufanya mambo mengi sana uki compare na nchi kama China.
To some extent I agree with you, but kuna watu wanasema what they call freedom is just anarchy if it does not benefit other citizens. USA land of freedoms? It is a discourse... an American discourse.Labda "free" wanaoogelea ni ule wa watu wa US..
wako huru kufanya mambo mengi sana uki compare na nchi kama China.
Hahahaaaa USA baby! The land of the free and home of the brave.
USA na Waingereza bana.....
Wanajidai ni nchi ya UHURU, lakini wee jaribu uone.
Wanajifanya Wanalaani na kupinga Ukoministi wakati vitu kibao Serikali inalipa hata zaidi ya nusu za gharama.
Wanakuja Tanzania na kusema "Sasa ni Capitalism" na akina Mkapa wanameza vizima vizima.
Sasa ni Demokrasia, Mzee Mwinyi anatangaza sasa rukra hata kuiba Balbu ya taa za barabarani..........
Hawa jamaa hakuna nchi BIG BROTHER kama wao na wakienda Urusi wanajidai "ohh nyie mnanyanyasa watu..."
Kweli, ukitaka kutawala dunia, wee tawala MEDIA. Ni Mengi tu hapa Tanzania, na media zote, bado analamba watu miguu.