George Bush amekuja kufanya nini Tanzania?

George Bush amekuja kufanya nini Tanzania?

​marekani wamepanga kuivamia iran kwahiyo anakuja kuwaambia muache kupiga kelele
 
Amekuja kuangalia net zake zenye matundu kama ya nyavu za magoli.Pia kufanya uchunguzi wa sumu waliyoka kwenye net kama imeanza kutoa positive result wa watumiaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom