George Bush 1992

George Bush 1992

Patrice Diounis

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
1,210
Reaction score
2,496
FB_IMG_17929957586695011.jpg


"No body has a right of self defense against this country even if it intervenes across the ocean to impose by force a government that people of the country reject".

Yes, hawa ndio watu waliostaarabika na wanaoishi demokrasia na ni mfano wa kuigwa duniani kote.

Vita kati ya Taifa hilo na Taifa la vietnam lioiacha historia mbaya inayoishi hadi sasa.

Vietnam walikadilia :
Vifo vya watu zaidi ya Milioni 3.
Watu zaidi ya Laki Tatu kupotea kabisa, watu zaidi ya milioni 4 majeraha makubwa na vilema na watu zaidi ya Milioni 2 wakidhurika na Sumu ( Arsenic orange ).

Ardhi ya wa Vietnam ilishambuliwa kwa Mabomu na chemical zenye sumu.

Kama ilivyo kawaida yao U.S officials na media zaowaliripoti kuwa Taifa lao ndio lililokuwa likishambuliwa.

Makadirio ya kile taifa hilo lilipoteza kwa kudai kushambuliwa na Mvete ni :
Wanajeshi 58 Elfu.

Usisahau sumu ilishambulia mifugo, mimea,ardhi na vyanzo vya maji pia na vifo viliendelea kwa milipuko ya mabomu yaliyo salia ardhini mbaya zaidi yaliua watoto wengi amabao udadisi wa wasivuovijua uliwagharimu.

"Matatizo mengi tunayolalamika leo yametengenezwa na sisi wenyewe"-- PAM..


TAFITI ZILIZOFANYWA NA JAPAN 1967 ZILIONYESHA

Zaidi ya acre milion 4 zilikuwa zimemwagiwa zaidi ya gallon milioni 20 za Conc Arsenic herbecide, Agent Orange.
Na uharibifu huu ni kinyume na sheria za vita.
Kibaya zaidi media coverage za matukio haya ukioneshwa toka kwa washirika wao utaona Mviete alikuwa hatari kwa usalama wa wengi.

Na hii ni sehemu ya waliostaarabika.
 
Back
Top Bottom