Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wanapata wapi hizi pesa za kumudu gharama hizi!!!?
Mungu nae alijitia wazimu tu kuumba binaadam! Angekaa na chui kikaeleweka!
Kwahiyo saivi mungu ana wazimu?Mungu nae alijitia wazimu tu kuumba binaadam! Angekaa na chui kikaeleweka!
Sio mfuasi huyo ndio mwanae anatengeneza mangoma na kina jomakini. ''utawatambua kwa matunda yao''Wewe ni mfuasi wake halafu unauliza!!!!!
kitu alichoharibu alikua anatembea na mke wa mtu mpaka akasababisha mwenye mke akachanganyikiwa
Nabii GeorDavie ni mtumishi wa Mungu na huduma yake ipo Arusha Kisongo na ni Kilomita 13 kutoka mjini Arusha njia ya kwenda Dodoma na ni baada ya uwanja wa ndege tu. Huduma yake inaitwa "Ngurumo Ya Upako" na ni kati ya watumishi wa Mungu ambao wana Upako wa kipekee amabo umekuwa gumzo kwa watu wengi. Mungu ana njia nyingi sana ya kujidhihirisha kwa wanadamu na kama wakati wa zamani za kale aliwatumia watu mbali mbali kwa namna tofauti na hivyo hivyo kwa Nabii GeorDavie.