Geo informatics

Geo informatics

Course inahusika sana na mambo ya GIS yaana geographical information system pale chuo cha aru inafundishwa miaka 4 kwa degree pia hufundishwa katika level ya diploma na certificate.
Udom miaka 3
 
Wataalam wa koz hii wanaajiriwa sana na wizara ya ardhi, tamisemi na katika halmashuri nyingi za bongo kwa kifupi wataalam wakoz hii wanatumika sana katika ku create system mbalimbali za kurahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali za kiijografia kwa urahisi ili kuboresha huduma zitolewazo na taasisi hizi.
Vipi kuhusu hawa watabiri wa hali ya hewa na hao ni geoinformatics
 
Mbona bsc informatics wanaisoma kama course tu lakini pia sijaelewa zaidi matumizi yake katika maisha ya kawaida
Bsc informatics ni sawa na computer science ni sawa na IT, nadhani inatolewa SUA! geoinformatics briefly inahusiana na ukusanyaji wa data (GIS) na utengenezaji wa ramani na inatolewa ARU!
 
Back
Top Bottom