GENYE..hivi na wao wanafeel kama sisi

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Najiuliza hivi wanawake wanakuaga nafeeling kama sisi? wife kasafiri hapa nilipo mpaka kazi haziendi....nina genye mpaka nachanganyikiwa....alafu kila demu namuona mkali......hata mama mpika chai namuona kasimama...hehehehe balaa hili.
Ila nitashinda tu majaribu maana bado wiki tatu arudi.
 
hHhahaha....jamani hii utamu ni bala. kamatia kimada mwana ushushe mzigo bwana.
 
Hahahahah lol! Na wao si binadamu banaa!? Subiri tu wiki tatu zinakaribia kukatika ila angalia usipate mfadhaiko na kuvamia huyo mpika chai hapo kwa ofisi....chezea genye weye!

Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa! Itakuwa ungonga 40 sasa ndo unakumbwa na ile hali ya MIDLIFE CRISIS ambapo unakuwa na CRUSH na kila demu anaekatiza mbele zako!!!! Alafu timing ndo imekuwa ndivo sivo wife hayupo!!!! Hapo we jisevie tu NOT TOO LONG UTAITWA BABU!!!!!! Na siku hizi hawa broiler na soseji nguvu zinaisha MAPEMAAAA unabaki kujutia chances ulizopotezaaaa!!!! Maisha ni sasa Uzeeni ni MEMORIES NA MAHESABU TU!!!! Make the memories matter so as you will be enjoying them in your old age.!!!!!

(Caution: DONT TRY THIS AT HOME)
 
Najiuliza hivi wanawake wanakuaga nafeeling kama sisi? wife kasafiri hapa nilipo mpaka kazi haziendi....nina genye mpaka nachanganyikiwa....alafu kila demu namuona mkali......hata mama mpika chai namuona kasimama...hehehehe balaa hili.
Ila nitashinda tu majaribu maana bado wiki tatu arudi.

Kuendekeza mwili,
 
Nashindwa kuchangia sijui maana ya benye. Ndio tatizo la kutembelea majukwaa ya watu wazima!
 
Najiuliza hivi wanawake wanakuaga nafeeling kama sisi? wife kasafiri hapa nilipo mpaka kazi haziendi....nina genye mpaka nachanganyikiwa....alafu kila demu namuona mkali......hata mama mpika chai namuona kasimama...hehehehe balaa hili.
Ila nitashinda tu majaribu maana bado wiki tatu arudi.

Hapa ndo nawakubari waliobuni Sharia, mda huu ungeenda kujikamulia mke wapili, watatu au wanne, kutegemeana na tamaa zako, ni katika hili tu huwa natamani ku-slim
 
Nashindwa kuchangia sijui maana ya genye. Ndio tatizo la kuvamia majukwaa ya watu wazima!
 
Hahahahaaaaa! Itakuwa ungonga 40 sasa ndo unakumbwa na ile hali ya MIDLIFE CRISIS ambapo unakuwa na CRUSH na kila demu anaekatiza mbele zako!!!! Alafu timing ndo imekuwa ndivo sivo wife hayupo!!!! Hapo we jisevie tu NOT TOO LONG UTAITWA BABU!!!!!! Na siku hizi hawa broiler na soseji nguvu zinaisha MAPEMAAAA unabaki kujutia chances ulizopotezaaaa!!!! Maisha ni sasa Uzeeni ni MEMORIES NA MAHESABU TU!!!! Make the memories matter so as you will be enjoying them in your old age.!!!!!

(Caution: DONT TRY THIS AT HOME)

bonge la ushauri maana ukizidiwa unaangalia wapi pa rahisi vinginevyo unaweza tamani hata msichana wako wakazi..
 
Hahahahaaaaa! Itakuwa ungonga 40 sasa ndo unakumbwa na ile hali ya MIDLIFE CRISIS ambapo unakuwa na CRUSH na kila demu anaekatiza mbele zako!!!! Alafu timing ndo imekuwa ndivo sivo wife hayupo!!!! Hapo we jisevie tu NOT TOO LONG UTAITWA BABU!!!!!! Na siku hizi hawa broiler na soseji nguvu zinaisha MAPEMAAAA unabaki kujutia chances ulizopotezaaaa!!!! Maisha ni sasa Uzeeni ni MEMORIES NA MAHESABU TU!!!! Make the memories matter so as you will be enjoying them in your old age.!!!!!

(Caution: DONT TRY THIS AT HOME)

Hapo juu Umepatia kabisa tatizo mimi muoga sana aisee..siwezi kabisa kumtokea demu......nahisi kama wife atajua vile.
 
Hahahaha
nilijua tuu!

Back
Top Bottom