Heheheheeh. . . . Kwavile hajaleta mbwembwe?
Hahaha. . . anaona soni.Mvumilie!!
wats sup in here jamani...? napita tuuu..! mambo vipi lakini..? lizzy ni tf nini huyo...!? manake kwa mabif nyie ndo wakongwe..! karibu QUALITY CENTER LEO..! kuna movie ya ukweli..! umeshawahi kuona "a girl with the dragon tattoo..?" karibu mama...!
Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.
Akisema kitu namwambia aongee na wewe kwanza. . . .