LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,286
- 18,018
Hivi mkuu bado msimamo wako uko vile vile? Au umeshabadili kama mbowe wa gia ya angani? Katika siasa hakuitaji mhemko kabisa maana ukweli uko wazi kwamba kuweka akiba ya maneno ni vema,
Vipi kwa kijana wetu BAK bado unaamini Lowassa ni fisadi?
Vipi Nape Nnauye unaamini kuwa Magufuli ni bulldozer?
Kuhusu mange kimambi unaamini bado Magufuli ni jembe lisiloyumbishwa na lenye akili iliyopitiliza kama ulivosema kwenye kampeni?
Bado unaamini mgombea wa upande mwingine alifanya mambo uloyatangaza jukwaani?
Vipi mbowe ,magufuli bado anatekeleza ilani yenu kama ulivosema mwanzoni?
Msigwa na lema vipi bado mnasimamia kaulo ya wafuasi wa Lowassa wapinwe akili?
Namuuliza Humphrey Pole pole hivi kweli ukuu wa wilaya ni kupoteza rasli Mali za nchi bila sababu?
Namalizia na quotation ya GENTAMYCINE